What goes around, comes around. Pole Prof.Ndalichako

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,058
2a11e1926eb13d09a55147a927fe0323.jpg
 
siasa za Lumumba ni km kinyesi ukikichezea utanuka tuu,yeye alijua ameteuliwa kwa kuwa wana m apreciate,kumbe ili wamtumie
 
Kama wasomi wetu wanashindwa kuwa huru na kujiamulia mambo kwa uhalisia wanabaki kupelekeshwa na siasa, nafikiri Tanzania hatuna haja ya kuwa na vyuo vikuu. Elimu iwe mwisho darasa la 3 ilitufahamu zile K3 tu.
 
Inchi inahitaji maombi maalum Viongozi wa dini compromised, wasomi compromised, wasanii compromised, mahakama compromised,jeshi compromised, polisi compromised etc etc
 
Lipumba kweli Mungu kasikia kilio chake watu walikuwa wanamshangaa ni msomi Wa Namna gani haya sasa amepata wasomi wenzake wengine watatu makame ndalichako Na maige hao ndio wasomi wetu kwa hiyo usishangae ata kidogo
 
Back
Top Bottom