Hahah 2007 ile walizingua sana, imekaa ki game game .zaidiEeeh bwana sijawahi cheza game ya mpira ngumu kama ile.
Unaweza kufungwa hata magoli kumi kabisaa.
Fifa ni rahisi sanaa, kuna ile ya 97 ina hadi Tanzania.
Its like a Boomerang you know!
Mambo ya mahabati hayoo ...
Hahah 2007 ile walizingua sana, imekaa ki game game .zaidi
Hiyo sijawahi cheza hata kidogo. Game za magari na action
Diva Lovenes love, hagusi kwa kesie.Hahahahahahhahaa mambo ya Muchacha Kasie ML
Kwasasa fifa14 mkuu, mambo ya career nini hahaAnhaa,
Game gani huwa unapendelea kucheza sasa!
Mkuu hiyo d day ilinishinda njiani nikaamua kufuta tuCriminal case..
Clash of clan.
QuizUp..
Frontline Commando D Day..
Sim 3 free play..
Pes 2012
Haha Android yangu imejaa hapo.. These are my Favorites Games...
Aahahahahahahahaaaa boomerang....
I know I know aahahahahhahahahhahaaa
Thanks baby....
That's all folks.
That's my muchacha,
ML lo...es Kasie you know!
Diva Lovenes love, hagusi kwa kesie.
Unajua mashavu yanauma kwa tabasamu unalonipa kila nisomapo jumbe zako.....
ML.... I love you too and more and more and more
Mmuah! ! I know. ... sexy thing you...
ML and Kasie we rolling,
Haters gonna hate.........
who are haters? And why should they hate?
Muchacha!
Figure of speech! Figure of Speech!
Hahaha diva ni mrembo mmoja hivi wa kibongo bongo.Hahahahaha usinifanyie hivo tafadhali.
Diva Loveless Love ndo nani? Kiukweli simfahamu.... mbona kunifananisha au kunilinganisha naye?
Hahaha diva ni mrembo mmoja hivi wa kibongo bongo.
Ana maneno na vocal fulani amaizing japo sioni akikusogelea kasie mapenzi
Unajua mambo gani lakini? Au unakataa tuOoh kumbe.... mie siko kwenye mambo hayo.
Unajua mambo gani lakini? Au unakataa tu
Diva ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba, na wewe ni kasie mahaba. Relation ndio hiyoNdo uniambie maana hata sikuelewi naona unasema diva na Kasie wapi na wapi... ndo maana nikasema sio mie.
Mie najua mahaba tuu...
Diva ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba, na wewe ni kasie mahaba. Relation ndio hiyo