Kwani lazima? Mbona wewe hutumii?
alaaaah........si nilisahau banaaa! asante kwa kuliona hilo!!!
ila sio lazima ingawa vinanoga kwa lugha yetu adhimu!!!
nimekutumia umepata
Kwani lazima? Mbona wewe hutumii?
Sipokei PM unless uwe katika orodha ya marafiki zangu.PM.....
Miss you badFriends in need are friends indeed..Good day flatmate wangu wa ukweli.