Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Am single so kumuwaza ex wangu sio shida😉.......
Endelea kumuwaza tu.....asante kwa taarifa
Am single so kumuwaza ex wangu sio shida😉.......
dah kumbe wengi hata mm Demu wangu tuliachana ki utani utani sanaTuliachana kiutani utani eeeh mwisho wa siku kila mtu akaendelea na maisha yake
au ndio ww Ex wanguTuliachana kiutani utani eeeh mwisho wa siku kila mtu akaendelea na maisha yake
Kwani wewe haumkazi ex wako?
Namiss kuambiwa "We endelea tu na vijichepuko vyako,hata unifanyie nini mi nakupenda ivo ivo"
Huyu wa sasa nakoma kumjua ila simwambii,yani nabanwa kiasi kwamba marafiki wanajua naumwa kumbe nimefungiwa ndani kwa wivu tu!!...sitamuacha salama huyu
bora yupiKwenda zako huko...uzi huu wamechangia wanawake tu?
utamjuaje kama ayupo😛😛😛😛 hapana ex wangu hayupo jf kabisa
Big no! Sema huyu wa mwisho nimemmiss tu ila hatuwezi kusex hata iwejeKwahiyo ma x zako wanakukaza?!....i respect myself kwa kiasi cha kutowasiliana wala kufanya chochote na mtu tukishaachana
Aache kula bata zake aingie humu hapana......namjuautamjuaje kama ayupo
au lugha ya malkia tatizo comrade mwenzangu???Leo minapita tu humu kwakweli, maana nimeishiwa maneno
Tutumie kiswahili jmn hizo lugha zilizokuja kwa meli.....hatareee "she gave me, and not she was give me" napita tuuuShe was give me a pretty sex I lap u Anne
Move on bhna mapenzi ya utotoni yasikupe shida afu kama yupo tayari kumuacha mwanaume mwingine kwa ajiri yako kwann Hua mnaachana huoni kama anakuacha kwasababu ya mwanaume mwingine?
Huyo sio Mwanamke wa kuoa mmeachana Mara mnarudiana ndo nini
hahahahbila ya shaka wew unatumia hiz laptop za apple toleo jipya sijui zinaitwaje ila sio kwa hiyo speed Ghz
RIP EnglishShe was give me a pretty sex I lap u Anne
Hiyo ni akili ya mtu binafsi awe mwanamke au mwanaumeNaww bado unawakumbuka ma x?!....even u of all ppl..!
Wanawake mna hatar sn
Acha uongo...mbona mi mara kibao tunakumbushiaKwahiyo ma x zako wanakukaza?!....i respect myself kwa kiasi cha kutowasiliana wala kufanya chochote na mtu tukishaachana
