Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
I miss nothing, wakafie mbali kondoo tu.....
Zamani sio siku hiziIla kuna mtu unafanya naye yote yaliyo kwenye ndoa😉😉
Hahahahaaaaaaaa nimeipenda hiyoI miss nothing, wakafie mbali kondoo tu.....
Alikuwa anakupenda inaonekanaAlinunulia boxer nyingi so kila nikivaa namkumbuka duuh
Kwani wewe haujawahi kuachana na mtu na kuwa na mwingine???Jibu ni wewe mwenyewe tazama jinsi ngono inavyokusumbua maishani mwako unahama kutoka mwanaume mmoja hadi mwingine.
Ngono ni maagano yanayokuacha na laana za kuharibu maisha yako ya kimwili na kiroho.
Tuacheni uzinzi.
Mi nakumic tu weweKwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest
Sijui wanajf wengine uwa mnamiss nini😉😉
Pole sana kwa huyo wa kwanzaEx wa awali Jackline alikuwa kawaida, siwezi mkumbuka in anything zaidi ya mateso alionipa baada ya kumpenda sana tokana na maisha yake duni kumbe alikuwa malaya.
So aliishia kunisaliti pia alikuwa mjeuri sana na mchafu mchafu yani yupo rough,uswahili mwingii hamuwezi mkatembea hatua kumi hajasalimiana na wanaume wengine.
She wasn't my type kabisaaa!!! Ila ndio alinifundisha game ya mahusiano inavyoanza mpaka kuisha kwa kuumizana.
Ex wa mwisho Lily, huyu ni kama ameshushwa..Mpole mzuri mno super romantic and sweet,understanding.
She is the only woman ambae made me feel im a man completely, sio mbishi na alijua nataka nini kwa wakati gani na akanipa kwa upendo wote iwe pesa au mapenzi tu.
Kubwa kuliko ni mtamu kwa rolling in bed,papuchi so hottt and magic. Im missing her to death aisee na sidhani kama ntakuja kupata mwanamke genuine wa kufikia kiwango chake na tukapendana kama ilivyokuwa. If god wishes ntarudi kutangaza ndoa tu wahillahi.
Jamaniiiii......miss you tooMi nakumic tu wewe
Tehtehteh nimecheka kwa sautiKwa sasa nimevisahau kwa sababu ya usingo wa muda mrefu
Kwani wewe haumkazi ex wako?Hapa ndio unaona jinsi gani wadada wanavyoendelea kukazwa na ma-x zao....hatari sn
We bwana sijui vipi. Comment yako ya kwanza nimeivumilia nimepita kimya hivi kwa nini watu wengine mnakuwa wabinafsi hivi? Unalaumu wanawake tu kwani hao ma-x wa wanawake ni midoli? Kwa hiyo mwanamke kulala na x wake ni dhambi ila mwanaume sio dhambi?
Kwenda zako huko...uzi huu wamechangia wanawake tu?Mpo wengi kumbe