What do you miss about your ex?

Ex wa awali Jackline alikuwa kawaida, siwezi mkumbuka in anything zaidi ya mateso alionipa baada ya kumpenda sana tokana na maisha yake duni kumbe alikuwa malaya.
So aliishia kunisaliti pia alikuwa mjeuri sana na mchafu mchafu yani yupo rough,uswahili mwingii hamuwezi mkatembea hatua kumi hajasalimiana na wanaume wengine.
She wasn't my type kabisaaa!!! Ila ndio alinifundisha game ya mahusiano inavyoanza mpaka kuisha kwa kuumizana.

Ex wa mwisho Lily, huyu ni kama ameshushwa..Mpole mzuri mno super romantic and sweet,understanding.
She is the only woman ambae made me feel im a man completely, sio mbishi na alijua nataka nini kwa wakati gani na akanipa kwa upendo wote iwe pesa au mapenzi tu.
Kubwa kuliko ni mtamu kwa rolling in bed,papuchi so hottt and magic. Im missing her to death aisee na sidhani kama ntakuja kupata mwanamke genuine wa kufikia kiwango chake na tukapendana kama ilivyokuwa. If god wishes ntarudi kutangaza ndoa tu wahillahi.
 
Jibu ni wewe mwenyewe tazama jinsi ngono inavyokusumbua maishani mwako unahama kutoka mwanaume mmoja hadi mwingine.

Ngono ni maagano yanayokuacha na laana za kuharibu maisha yako ya kimwili na kiroho.

Tuacheni uzinzi.
Kwani wewe haujawahi kuachana na mtu na kuwa na mwingine???
 
Nememis kauli zake "hi uko wapi nimemis shughuli yako "
 
ukishajua weakness point ya mpenzi wako hata muachane vipi huakika wa kumla upo
 
Pole sana kwa huyo wa kwanza
 

Mpo wengi kumbe
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…