What do you miss about your ex?

Halaf uambiwe mke mwema anapatikana humu kwa hali hii.....hizi habari zinavunja moyo sn kwny issue ya mahusiano unalala mtu ambaye anawaza mtu mwingine
We bwana sijui vipi. Comment yako ya kwanza nimeivumilia nimepita kimya hivi kwa nini watu wengine mnakuwa wabinafsi hivi? Unalaumu wanawake tu kwani hao ma-x wa wanawake ni midoli? Kwa hiyo mwanamke kulala na x wake ni dhambi ila mwanaume sio dhambi?
 
Sijawah kujuta maana hua na tabia ya kukusahau dakika tano baada ya kupigana vbuti
 
muvi la kikorea hili
 
Una tatizo serious ingawa wewe unaliona la kawaida. Haya mawazo yatakutesa maisha yako yote kama usipokombolewa
 
I miss the way she used to tremble and scream as if she was on cloud nine, when I went down on her.

I'm yet to enjoy sex like I used to!
Mfano mwingine wa laana ya UZINZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…