Pole mkuuR. I. P

Kaka lile buzi bado linasoma halina hrlawe si umepata buzi juzi hapa....hahaha Dada yangu unadanganya
Aaah kaka tabia gani hiyo ya kumcheka Shem wakoohoooo
![]()
shem hana MpungaAaah kaka tabia gani hiyo ya kumcheka Shem wako
Hata km hana , mama huwa akinipa na baba huwa na mgawia,shem hana Mpunga
na wewe ile uliyonipa juzi nilimpa akanunue simu
Kwa hiyo Galapagosi ni Marioo??Hata km hana , mama huwa akinipa na baba huwa na mgawia,na wewe ile uliyonipa juzi nilimpa akanunue simu
Bado kipo kwenye hifadhi kwa mda usiojulikanaMashalaah
Usihifadhi tena nipe mm nile maraha hayo
Aaaah kaka kauli gani hizo, siyo Mario ni mpnz wanguKwa hiyo Galapagosi ni Marioo??

Ripoti ya mchanga awamu.ya pili ni jumatatu asubuhi mubashara kabisa na itakua kisheria na kiuchumi zaidi

Sawa hahaha lakini usimzoeshe Umariooo sio mzuriAaaah kaka kauli gani hizo, siyo Mario ni mpnz wangu![]()
ShemKwa hiyo Galapagosi ni Marioo??
NiajeeeShem