Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,645
- 3,889
Yes I do lakini jini mkata kamba akaingilia katiU still lv him....![]()
Yes I do lakini jini mkata kamba akaingilia katiU still lv him....![]()
Yes I do lakini jini mkata kamba akaingilia katiU still lv him....![]()
Heshima yakoni mwendo wa hapa kazi tu. Work force imepungua
Nawe unamlaga, wako naye analiwa.Hapo ndo utajua kuwa Ex wa Mwanamke wako ana uwezo wa Kumla Tenaa
Dah, EX wapo wengi sasa! Wao ndo hunikumbuka,Kwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest
Sijui wanajf wengine uwa mnamiss nini😉😉

we si umepata buzi juzi hapa....hahaha Dada yangu unadanganyaKiukweli mi namiss pesa zake
WaooohDah, EX wapo wengi sasa! Wao ndo hunikumbuka,
![]()
![]()
Nawe ivo ivoWaoooh
Ila sio sanaNawe ivo ivo
Ni vizuri uwe unakumbukwa ww,Ila sio sana

Lazima atakuwa anapasha kiporoYes I do lakini jini mkata kamba akaingilia kati
sababu ni nyingi ..huwa tunaachana tunarudiana..na sababu zote mimi ndo chanzo!! ... ila kwa kuwa sijaoa na yeye hajaolewa mpaka sasa..natumai nikionana nae ikitokea ntamuomba turudiane tu...maana hamna namna nimezunguka sana sijapata wa kumreplace SuzanWhy mliachana??
Kizur Kula na mwenzioNawe unamlaga, wako naye analiwa.
#[Penzi Kiporo Kimechacha]Kwann ulale na exwako wakati unamdate mtu mwengine!?We bwana sijui vipi. Comment yako ya kwanza nimeivumilia nimepita kimya hivi kwa nini watu wengine mnakuwa wabinafsi hivi? Unalaumu wanawake tu kwani hao ma-x wa wanawake ni midoli? Kwa hiyo mwanamke kulala na x wake ni dhambi ila mwanaume sio dhambi?