Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
- Thread starter
- #241
NimekuelewaNi vizuri uwe unakumbukwa ww,
Kuliko
Kukumbuka ww,
Ukiona ww ndiyo unayekumbuka mmmmmmm![]()
NimekuelewaNi vizuri uwe unakumbukwa ww,
Kuliko
Kukumbuka ww,
Ukiona ww ndiyo unayekumbuka mmmmmmm![]()
Woooow nafurahi kusikia hivyoexcactly...na mara nyingi unampata bora zaidi,ukitaka kumsahau x wako jitahd kukumbuka mabaya yake aliyokufanyia,ni ndani ya week tu ushamsahau...sijawah teswa na hayo maisha ya kipuuzi mm aic,
HaswaaaHapa ndio unaona jinsi gani wadada wanavyoendelea kukazwa na ma-x zao....hatari sn
Haswaaa
Woooow nafurahi kusikia hivyo
You're a real woman
Sijawahi kumruhusu kupasha kiporo naheshimu mipaka yanguLazima atakuwa anapasha kiporo
Kwann ulale na exwako wakati unamdate mtu mwengine!?
Sijawahi kumruhusu kupasha kiporo naheshimu mipaka yangu
Mtt upo?!...kama nakuona vile unatingisha bunyanga hilo kutoka buhongwa mpk kilimahewa
Nokia83 umeanzaInaelekea uliachwa weweKwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest
Sijui wanajf wengine uwa mnamiss nini😉😉
No comment😛Inaelekea uliachwa wewe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nokia83 umeanza
Nipo Kona ya bwiru hapa MS hotel napata sifa kedekede
ukimailza Nambie![]()
![]()
![]()
ukimailza Nambie
Ameshaomba na kuomba lakini nmeishia kuugulia tuu ndani ndaniHajaomba tu....ngumu kumnyima mtu unaempenda
Acha uongo ww...kama uliweza kumpa kipindi hiko na hadi leo unampenda ndio utaweza kumnyimaAmeshaomba na kuimba lakini nkeishia kuugulia tuu ndani ndani
Inawezekana kabisa na ndio maana nasema naheshimu mipaka yanguAcha uongo ww...kama uliweza kumpa kipindi hiko na hadi leo unampenda ndio utaweza kumnyima
Sasa hivi nani anakula?!Inawezekana kabisa na ndio maana nasema naheshimu mipaka yangu