What do you call yourself / What do they call you at Work ?

What do you call yourself / What do they call you at Work ?

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,114
Reaction score
9,278
Hey Fellows!

Je ni jina gani ulilojipa/ulilopewa kazini kwako/ofisini kwako katika kazi za kila siku, Maana kiukweli sisi wazee wa ICT na watu wengine wote tunao fanya kazi za kiufundi tunakuwa tukifanya kazi nyingi na za kila aina kiasi kwamba TITLE na JOB DESCRIPTION zetu haziwezi kuzisemea zote.

Kwa mfano:

Mimi Title yangu ni IT Admin katika kampuni nayofanyia kazi lakini, Nafanya kila kitu kuanzia Networking, Security, Help Desk, Application Support , Server Administration, Managing exchange servers, Website and FTP development, Print services, yani kila kitu unachoweza kufikiria kinachohusu Umeme na ICT, bila kusahahu UPS , Generators na pia Pbax pia VoIP kifupi ni mengi.

Kiasi mimi mwenyewe sijuhi hata nijiite nani maana naona ni zaidi ya IT ADMIN, Muda mwingine najitambulisha kama Systems Administrator , Information Systems Specialist , or Information Technology Professional. Japokuwa najua naweza nikaongezea , Network Administrator , Web Developer Etc. Etc. Etc. Etc.


Karibuni wadau tujue wewe huko kazini kwako uliko ajiri au ajiriwa unaitwa nani, hata kama ni fundi kitaa je unaitwa nani kuanzia Official name to Nick name linalotokana na kazi yako.

MODS:
Kama itakupendeza tafadhali naomba uweke juu hapo kama STICKY.
CC: Invisible
 
Nataka kufungua Website ya ofisi naomna PM namba yako ili tuweke mambo sawa..
 
Duh... MIe hata sina jina, make mtu akiingia anatamka lolote wengi hata hawajuia title yangu.

Ila kuitaja mmmh lolest!!!
 
Aisee ww ni mkali sana..naona umemaster kila kitu..

nadhani cha muhimu ni uzowefu tu ndugu na hasa onjob training, some time unakuw aupo kazini na kimeo kinatokea sasa unafanya nini na ofisi ndio inakuangali wewe ndio unaitwa IT ADMIN acho yote kwako,
hakika lazima ujifunze na ujue faster ili uweze kuokoa kazi na credibility yako.
 
hahahaaaa... IT naifahamu kiasi make nilipitia CISCO ila nikaingia chaka maana niliona inakula sana akili yangu. Saiv nataka biashara tu aisee!!!!!!!!

Naamini ulifanya uchaguzi mbaya sana, kuna watu wapo ofisini na ni wakali lakini hawana hiyo CISCO.
still bado kama unaitamani IT unaweza kufanya, Chamuhimu ni kusem atu kuwa nataka na ninaweza,
kuanzia hapo nitakushahiri/utashahuriwa na hakika utafanikiwa.
 
Tatzo ukisoma IT watu wanajua unajua kila kitu cha ICT.

Proudly an ICT personnel

By the way katika maisha yangu nimegundua kuwa bora ningesoma degree ya uchumi au hata Finace na haya ya ICT ningejifunza tu au hata masters ningeweza kufanya ya ICT na bado ningetoka mkali tena moja kw amoja kwenye management.

All in all watu waliosoma fani nyingine wananafasi kubwa sana ya kushine kwenye ICT, Kuliko sisi tulio anzia huku kwenda kushine kwenye fani nyingine.
 
By the way katika maisha yangu nimegundua kuwa bora ningesoma degree ya uchumi au hata Finace na haya ya ICT ningejifunza tu au hata masters ningeweza kufanya ya ICT na bado ningetoka mkali tena moja kw amoja kwenye management.

All in all watu waliosoma fani nyingine wananafasi kubwa sana ya kushine kwenye ICT, Kuliko sisi tulio anzia huku kwenda kushine kwenye fani nyingine.

Tatizo wengi wenu mumechagua kusoma ICT iliyo kavu. Mfano wa chuo kinachotoa ICT yenye nyama ni Mzumbe university...wao wana ICTM (ICT with Management), ICTB (ICT with Business). Hapo unakua unasoma course mbili kwa mpigo. So ukigraduate unachagua pa kwenda either ICT au management or business. .. pia unakua kwenye safe side kwenye soko la ajira kwasababu una kitu cha ziada kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom