What did JPM know and When Actually did he know?

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.

Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.

Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?

Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.

Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.

Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.

Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
 
Nina amini kwa asilimia zote kwamba bwana mkubwa anafahamu kila jambo lililofanyika katika utekaji na uvamizi mbalimbali.

Kwa mfano waliovamia Clouds ni kikosi chake maalum cha ulinzi. Nani alikiamrisha kwenda kuufanya ule uhuni na Bashite kama sio yeye mwenyewe.

Hata kuvamiwa kwa Nape. Inasemekana yule alietoa bastola kishamba pale ni mlinzi wa Bashite ambae yeye bwana mkubwa alimpatia na pale kwenye tukio kulikuwa na gari ya Ikulu.

Ngoja tuendelee kuona hizi vurumai zaidi.
 
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.

Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.

Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?

Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.

Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.

Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.

Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
Mkuu kichwa cha Mada ni Kingereza na maelezo Kiswahili. Wacha nijaribu kujibu niwezavyo.
1. Hoja yako ni ya MSINGI kabisa. Why can't you book an appointment with President Magufuli. I hope you could be lucky to be given an audience.

Then present to him all of your questions and grievances you have. He is the ONLY one who is well placed to answer your questions and all of your queries you could be having about ALL these.
Ask him whether HE KNOWS something about this or has been in the picture of what is happening in the country.

Then Come back to us in JF and let us know what transpired between you and Magufuli.
Otherwise wengine sisi ni raia wa kawaida .
And we might not be of any help to your BURNING questions and concern.
Nakutakia mafanikio unatakapofika getini Magogoni.
 
yaani ukifikiria paka inatia huruma aisee,taasisi iliyokuwa inaheshimika kumbe inafanya vitu vya ajabuajabu
 
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.

Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini
naomba kdoogo ni iweke sawa, Rekodi hazioneshi kuwa Rais Nixon alijua kuwa wizi una enda kufanyika wala hakuagiza isipo kuwa, kosa lake ni kuwa alipogundua watu walio chini yake ndio walifanya tukio hilo yeye, ali wafanyia cover up, aka wapa na hela wavamizi wale wasitoe siri (hush money) na akafukuza mtu yeyote aliye kataa kushiriki kuwasafisha pia akajaribu kuvizuia vyombo vya upelelezi visendelee na kazi
kosa lake lilikuwa alikuja kujua ukweli baadaye lakin akajaribu ku uficha.

ya Magu nawaachia wenyewe
 
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.

Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.

Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?

Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.

Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.

Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.

Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
head English. body Swahili. just wondering what language would be used to conclude???
i like ur concerns though. nice piece!!
what is happening in our beloved country currently is incredibly unbelievable.
 
Kesho utajua Kama anahusika ama la, he is easily predictable. Badala ya kukemea hata kinafiki, utamsikia na yeye anawapiga madongo wanaopinga maovu,.. Am sure kuna die hard Usalama wa taifa wanasononeka Sana!
 
Nikiwa humu jf unaona kama nchi imekwisha ila baade nikagundua kwamba member wengi wa humu ni watu wenye weledi na kazi yao kubwa ni kuonyesha umahili wao katika kutoa hoja kila mmoja kulingana na fani yake!! Alfu kuna kundi jingine ni la watu wenye mihemko tu!! Yaani wao ni wafata upepo na hawajiulizi mara mbili vidole vyao vinamihemko na keybodi kukashifu tu bila kujiuliza mara mbili!
 
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.

Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.

Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?

Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.

Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.

Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.

Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.

Utawala wa kiafrika, people only matters when leaders are after votes, wakishaingia madarakani, people do not matter any more, inakuwa ni serikali ya Rais, mpaka Wakati wanapotafuta kula. Watu wanatekwa, watu wameshinkwa of na wasi wasi, serikali imepuuza something is very wrong here.
 
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.

Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.

Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?

Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.

Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.

Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.

Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
Mkuu Baija Balobi, asante kwa kisa hiki.
Kashfa ya Water gate ndio modal ya somo la IJ (Investigative Journalism ) kwenye vyuo vya uandishi wa habari. Kashfa hii iliibuliwa na mwandishi wa habari wa gazeti la The Washington Post kutokana na tip kutoka kwa a secret source aliyemuita jina la bandia la "deep throat".

Gazeti la Washington Post liliporipoti, serikali ya rais Nixon wa Marekani ikamshitaki mhariri wa Washington Post kuwa taarifa hiyo ni uzushi na uongo, hivyo kumtaka mhariri huyo amtaje mwandishi na source wake, mhariri akagoma na kufungwa jela.

Somo tunalopata hapa ni kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source " yaani mhariri kukubali kwenda jela kumlinda mwandishi wake na source wake.

Mhariri msaidizi akaendeleza mapambano, mapambano ukahamia Bungeni ikaja kithibitishwa ni kweli rais alijua hivyo there was no way out rais Richard Nixson akaachia ngazi kwa aibu.

Hiki kinachotokea Bungeni kuhusiana na Bashite, Tiss na Kamati teule ya Bunge kikifanyika, ikithibitika Magufuli alijua, then yeye na Bashite wake must go!.

Very unfortunately kwenye nchi za kiafrika zenye siasa za njaa, hili haliwezi kufanyika!. Spika Job Ndugai hakuna kitu kabisa pale!.

Wale makirikiri wa Bashite ni Tiss na wanapokea command 2 tuu, ya CIC or Director wa TISS, kwa jinsi movie yenyewe ilivyo igizwa kijinga, na kipuuzi, huyu hawezi kuwa ni DG wa Tiss bali ni yule mwingine na wala usikute sio yule bali ni yule mpuuzi, kutokana na ukaribu na mwenye amri, mpuuzi yule akatoa amri, hivyo kitendo cha mwenye amri kumlinda mpuuzi huyu ni uthibitisho tosha kuwa alifahamu.

Kamati teule haiwezi kuundwa na Zitto na Bashe watakuwa compromised kwa ile formula ya "penye uzia..." kisha watayamaliza kimya kimya!.

Paskali
 
Mkuu kichwa cha Mada ni Kingereza na maelezo Kiswahili. Wacha nijaribu kujibu niwezavyo.
1. Hoja yako ni ya MSINGI kabisa. Why can't you book an appointment with President Magufuli. I hope you could be lucky to be given an audience.

Then present to him all of your questions and grievances you have. He is the ONLY one who is well placed to answer your question and all of your queries you might be having about ALL these.
Ask him whether HE KNOWS something about this or has been in the picture of what is happening in the country.

Then Come back to us in JF and let us know what transpired between you and Magufuli.
Otherwise wengine sisi ni raia wa kawaida .
And we might not be of any help to your BURNING questions and concern.
Nakutakia mafanikio unatakapofika getini Magogoni.

Mkuu;
Leo nimeamini JF kuna vichwa. So yu have sent him to the right source that he can ask his questions! Don't yu see that yu have just given him more headache than the beginning? He was just trying to think aloud bro. He was not complaining but thinking aloud.
Umemmaliza ulivyomtakia hata mafanikio ya kuingia pale getini amuone JPM. Dah!
 
Mkuu Baija Balobi, asante kwa kisa hiki.
Kashfa ya Water gate ndio modal ya somo la IJ (Investigative Journalism ) kwenye vyuo vya uandishi wa habari. Kashfa hii iliibuliwa na mwandishi wa habari wa gazeti la The Washington Post kutokana na tip kutoka kwa a secret source aliyemuita jina la bandia la "deep throat".

Gazeti la Washington Post liliporipoti, serikali ya rais Nixon wa Marekani ikamshitaki mhariri wa Washington Post kuwa taarifa hiyo ni uzushi na uongo, hivyo kumtaka mhariri huyo amtaje mwandishi na source wake, mhariri akagoma na kufungwa jela.

Somo tunalopata hapa ni kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source " yaani mhariri kukubali kwenda jela kumlinda mwandishi wake na source wake.

Mhariri msaidizi akaendeleza mapambano, mapambano ukahamia Bungeni ikaja kithibitishwa ni kweli rais alijua hivyo there was no way out rais Richard Nixson akaachia ngazi kwa aibu.

Hiki kinachotokea Bungeni kuhusiana na Bashite, Tiss na Kamati teule ya Bunge kikifanyika, ikithibitika Magufuli alijua, then yeye na Bashite wake must go!.

Very unfortunately kwenye nchi za kiafrika zenye siasa za njaa, hili haliwezi kufanyika!. Spika Job Ndugai hakuna kitu kabisa pale!.

Wale makirikiri wa Bashite ni Tiss na wanapokea command 2 tuu, ya CDF or Director wa TISS, kwa jinsi movie yenyewe ilivyo igizwa kijinga, na kipuuzi, huyu hawezi kuwa ni DG wa Tiss bali ni yule mwingine na wala usikute sio yule bali ni yule mpuuzi, kutokana na ukaribu na mwenye amri, mpuuzi yule akatoa amri, hivyo kitendo cha mwenye amri kumlinda mpuuzi huyu ni uthibitisho tosha kuwa alifahamu.

Kamati teule haiwezi kuundwa na Zitto na Bashe watakuwa compromised kwa ile formula ya "penye uzia..." kisha watayamaliza kimya kimya!.

Paskali
======

Paskali umeongea vizuri. Watergate scandal ni event inayofaa fani nyingi mfano, Invetsigative Journalism, Political Science, Constitutionalism, Intelligence Management na Presidency.

Kwa maoni yangu, Kinachoendelea hivi sasa hapa nchini, hakina tofauti na Watergate. Suala la utekaji linachukua sura mpya kila siku na kila hatua.

Juzi na jana, polisi walikuwa wanakana kuwa hawajui lolote na kwamba Roma Mkatoliki hakuwa katika kituo chochote cha polisi. Lakini leo (Jumatano), nimemwona Waziri Kairuki, kwa uangalifu akikiri kuwa utekaji upo, umefanyika na unalinwa na sheria na katiba. Amesema kwamba ile taasisi nyeti inaruhusiwa kukamata, kuhoji na kushirikisha vyombo vingine ili kukusanya habari zinazohusu usalama wa nchi. Ninahisi, kukiri kwa Waziri Kairuki kunatokana na sababu mbili:

1. Roma amekiri hadharani kuwa alitekwa na akasita kutaja waliomteka ni kina nani
2. Kikao cha wabunge wa CCM kimetoa onyo na kuagiza wabunge kuitetea serikali dhidi ya
tuhuma hizi. Kama serikali haikufanya, isingeweza kuwashinikiza wabunge wake kuitetea.

Paskali, wanahitajika waandishi jasiri kuandika mambo haya. Watakamatwa, watateswa lakini mwisho wa siku, watashinda. Sasa wana uhakika kuwa jambo hili lilitokea na wakubwa walilijua na kuridhia lifanyike.

---/Baija
 
Waandishi jasiri?!. Not in Tanzania now, sijui Waandishi wangapi hata wanajua lilipo kaburi la Stan Katabalo!.

Paskali
 
...
Kamati teule haiwezi kuundwa na Zitto na Bashe watakuwa compromised kwa ile formula ya "penye uzia..." kisha watayamaliza kimya kimya!.

Paskali

Paskali, ndani mwako moyoni unaamini kabisa suala la 'utekaji' halipo ila ni silaha butu ya kumwondoa Rais madarakani kwa sababu ya utashi wake wa kisiasa kupigana vita na wahusika wakuu wanaomasikinisha Watanzania.

Pia Paskali unajua kabisa ni nani 'maluteni' wa Rais katika vita hiyo, ambao pia hizo silaha zimewalenga.

Kwa sababu hiyo, sikubaliani na wewe kuwa Kamati Teule ya Bunge haiwezi kuteuliwa kwa sababu yako hiyo ya "compromise". Haitaundwa kwa sababu madai ya Zitto, Bashe na wengineo wanajua ni ya uwongo, hivyo hawatadiriki kukubali kuundwa kwa kamati ikawaumbua. Na kwa mbunge kudanganya bunge ni kosa kubwa sana, halina kinga.

Tusubiri kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom