What are the reasons behind? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What are the reasons behind?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, May 23, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa nini mara nyingi katika suala la mavazi wanaoharibu zaidi ni wanawake? Mfano tukiwa beach wanawake utakuta kafunika robo mwili tu, yaani pale kwenye -------- tena kwa bikini na kwenye maziwa tu. Tukiwa club wasichana utakuta wamevaa vaa minguo ya ajabuajabu tu, au utakuta mtu katoka na mpenzi wake out, utamwona mwanaume kavaa fresh lakini honeeee kavaa balaaaaa tupu!  Ladies and gents, welcome for conversation.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Bana sharo.... mtu yuko huru kuanzisha kiasi chochote cha thread...
  but wachangiaji wengi ni wale wale, uwe unatutupia hata mbili mbili walau...

  Juzi kati ilikuwepo thread ya mavazi ya wadada.. waungwana
  walijibu vizuri na walichangia mengi... ngoja nikuangalizie link...
   
 3. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mbona unapotezea?
   
Loading...