Nenda kwa mwanasheria yeyote akutengenezee document inayoitwa deed poll,ipeleke kwa msajili wa nyaraka(Wizara ya ardhi) uisajili.
Akhsante sana mkuu...na swala lingine, kutahitajika kiapo chochote cha mzazi?nenda mahakamani kana jina lako la zamani sema la sasa, then ukiwaa unatumia hivyo vyeti vyako itakubidi uambatanishe cheti ulichopewa mahakaman na cheti chako cha zamani chenye jina lako
Shukrani sana...na vip kuhusu viapo vya wazazi, kuna umuhimu wa mzazi kuapa?nenda mahakamani kana jina lako la zamani sema la sasa, then ukiwaa unatumia hivyo vyeti vyako itakubidi uambatanishe cheti ulichopewa mahakaman na cheti chako cha zamani chenye jina lako
Nenda kwa mwanasheria yeyote akutengenezee document inayoitwa deed poll,ipeleke kwa msajili wa nyaraka(Wizara ya ardhi) uisajili.
Nenda kwa mwanasheria yeyote akutengenezee document inayoitwa deed poll,ipeleke kwa msajili wa nyaraka(Wizara ya ardhi) uisajili.
Hii hapa ndio njia halisi, hata mimi nilipo zaliwa nilikua na jina lingine (Yasmin), na babu yangu akanipa kashamba. baadae kidogo nilipoanza shule nikapewa jina lingine (RussianRoulette) na nilivo fika miaka kama 20 nikaenda land tittle kubadili makaratasi ya shamba nikaambiwa lazima nilete document toka mahakamani kuthibitisha kwamba Yasmin na Russian Roulette ni mtu mmoja. Mahakamani waliomba cheti cha kuzaliwa, vyeti vya wazazi na mashaidi wa2 wasio wa familia. karatasi zilitoka within a month na sasa nikitumia cheti cha kuzaliwa naambatanisha na certified copy ya mahakama na that is enough.nenda mahakamani kana jina lako la zamani sema la sasa, then ukiwaa unatumia hivyo vyeti vyako itakubidi uambatanishe cheti ulichopewa mahakaman na cheti chako cha zamani chenye jina lako
hakuna kiapo cha mzazi we mwenyeweAkhsante sana mkuu...na swala lingine, kutahitajika kiapo chochote cha mzazi?
Akhsante RussianRoulette....mimi nina story complicated haswa, nusu ya umri wangu nimeeishi na mama na nusu nyingne nimeishi na baba, sasa wakati nilioishi na mama ni wa utoto wangu ambao mama baada ya kuachana na baba alirudi nyumbani kwa baba yake...hivyo mimi nilianzishwa shule na babu mzaa mama na akaniandikisha kwa jina lake (babu mzaa mama), but nilipofika darasa la 5 nilihamishwa shule na mkoa kwenda kuishi na baba ambaye ndo nimekuwa naishi naye mpaka leo...sasa katika maisha ya kawaida mimi najulikana kwa jina la upande wa baba hawajui kama jina langu official la kwenye vitambulisho ni la upande wa mama, kuna wakati wananitumia package kwa jina langu la upande wa baba but napata shida kuvichukua sababu vitambulisho vyangu vina jina tofauti....then umri umeenda Roulette saa yeyote familia itaingia ndani ambayo itahitaji kubeba jina langu, watabeba jina gani na mimi natumia jina la watu?Hii hapa ndio njia halisi, hata mimi nilipo zaliwa nilikua na jina lingine (Yasmin), na babu yangu akanipa kashamba. baadae kidogo nilipoanza shule nikapewa jina lingine (RussianRoulette) na nilivo fika miaka kama 20 nikaenda land tittle kubadili makaratasi ya shamba nikaambiwa lazima nilete document toka mahakamani kuthibitisha kwamba Yasmin na Russian Roulette ni mtu mmoja. Mahakamani waliomba cheti cha kuzaliwa, vyeti vya wazazi na mashaidi wa2 wasio wa familia. karatasi zilitoka within a month na sasa nikitumia cheti cha kuzaliwa naambatanisha na certified copy ya mahakama na that is enough.
Ila nikuuliza swali: kwa nini unasema ulikua unatumia jina la babu sasa unataka utumie lako mwenyewe? hilo unalo ita lako si la babu yako pia? au baba upande wa mama? alikua wapi wakatu wanakupanga la upande wa mama? uko huru utumia jina unalo litaka ila hakikisha arguments unatumia haliwaumizi watu wako wa karibu. samahani kwa kuingia katika mambo yako binafsi bila kualikwa....