PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,280
Habari wakuu, naomba kuuliza. Ni Chuo gani chenye gamba zuri linalothaminiwa kwenye mafunzo za udereva ya awali
Nakazia hapaVyeti vya VETA na NIT ndio rasmi vinavyotambulika
ila kwa mafunzo ya awali tafuta shule za udereva zipo nyingi au mtaani uhakikishe umeiva vema ndio uende NIT au VETA
NB: pale hufundishwi kuanza upya, sana sana unaendwa kupimwa kama umeiva vema kwa mafunzo ya darasani na Barabarani
Upo ila sio NITKwan veta hawana udereva wa awali mkuu
Dah swali zuri sana ngoja tusubiri maoni ya WADAUUkishaanza udereva wa awali, itachukua miaka mingapi kufikia udereva wa malori au mabasi ?? ..
Dah swali zuri sana ngoja tusubiri maoni ya WADAU
Sidhani sababu kutoka class moja kwenda nyingine huchukua takribani miaka 3 ..Sina uhakika sana ila nadhan ni miaka 2 kwa kusikia kwangu
Mkuu tupe uzoefu wa hilo swali hapo chini kama hutojali ..Ndanda Driving School... Ipo Ndanda Wilaya Ya Masasi huko Mtwara.
Under Ndanda Mission OSB..
Hutajutia Kujifunza ukitoka hapo hata Ikulu hawana wasiwasi na wewe
Ukishaanza udereva wa awali, itachukua miaka mingapi kufikia udereva wa malori au mabasi ?? ..
Mkuu hii kitu inategemea na ujanja wako tu. Kuna wengine wenye bahat zao ile wanaanza tu leseni inaanza C, na sio D.Mkuu tupe uzoefu wa hilo swali hapo chini kama hutojali ..
Iyo sheria nadhani ipo kwenye mabasi tu kwa upande wa malori nadhani kuanzia miaka 24 .. hapo kwenye kuanzia C ndo inakuaje mkuu embu nope muongozo kidogo ..Mkuu hii kitu inategemea na ujanja wako tu. Kuna wengine wenye bahat zao ile wanaanza tu leseni inaanza C, na sio D.
Kwa kawaida ni kuanzia miaka mitatu.
Alaf ile sheria ya dereva wa bus kubwa au Lori aanzie umri wa miaka 40s (sijui Niko sawa hapo kweny miaka!?) Ilifutwa au bado ipo?
Ujanja unafanyika wakati wa kuandaliwa leseni. Kujuana na pia Pesa inachangiaIyo sheria nadhani ipo kwenye mabasi tu kwa upande wa malori nadhani kuanzia miaka 24 .. hapo kwenye kuanzia C ndo inakuaje mkuu embu nope muongozo kidogo .
Aaah hapo nimekuelewa mkuu ..Ujanja unafanyika wakati wa kuandaliwa leseni. Kujuana na pia Pesa inachangia