donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Daaah hii technology ni very advanced3d printed ni term kubwa sana mkuu, printer ya 3d inaweza tumia material kama binadamu, ikajenga kwa maboksi ama kwa cement ama kwa mbao etc. Inategemea na ilivyokuwa programmed
Angalia hii printer inatumia cement na zege kama nyumba za kawaida tu
Bei pia imechangamka mkuu, $50,000 kwa nyumba ya kawaida, kibongo bongo inajenga nyumba zaidi ya 4 hio.Daaah hii technology ni very advanced
Bei pia imechangamka mkuu, $50,000 kwa nyumba ya kawaida, kibongo bongo inajenga nyumba zaidi ya 4 hio.
Ni kweli, zikianza kuwa manufactured kwa wingi bei itashuka. Hata 3d printer za majumbani za kutengeneza vitu vidogo vidogo kama case za simu siku hizi zimeshuka sometime hadi chini ya milioni unapata.With time bei itashuka..
Shida ajira ambazo zitayeyuka..
Ni kweli, zikianza kuwa manufactured kwa wingi bei itashuka. Hata 3d printer za majumbani za kutengeneza vitu vidogo vidogo kama case za simu siku hizi zimeshuka sometime hadi chini ya milioni unapata.
Za majumbani mkuu, unataka umtengenezee mtoto mdoli na vitu vidogo vidogo unapata kwa dola 200 mpaka 500 around laki 5 mpaka 1.2m.Zinaenda ngapi now? Business nzuri hii
Za majumbani mkuu, unataka umtengenezee mtoto mdoli na vitu vidogo vidogo unapata kwa dola 200 mpaka 500 around laki 5 mpaka 1.2m.
Ila kama upo serious unataka kufanya biashara Tpu printer nzuri inaweza cost hadi milioni 7.
Hapa sasa mkuu inabidi uwasiliane na muuzaji, na sio tu kutengeneza cover inabidi akutengenezee michoro uwe una print tu, maana kupima cover kupata dimension kudesign kwenye computer ni kazi moja ngumu sana, hasa ukizingatia idadi ya simu zilivyo nyingi.Hii ya milioni 7 unaweza zalisha kwa kiasi gani?
Lakini kwa states ni sawa kabisa na very affordableBei pia imechangamka mkuu, $50,000 kwa nyumba ya kawaida, kibongo bongo inajenga nyumba zaidi ya 4 hio.
Dollar 50,000 ijenge nyumba 4 kweli? Labda za vyumba viwili viwili!Bei pia imechangamka mkuu, $50,000 kwa nyumba ya kawaida, kibongo bongo inajenga nyumba zaidi ya 4 hio.
Sawa ila ubaya wa machine haiangalii location, Iphone ni ghali huku kuliko states.Lakini kwa states ni sawa kabisa na very affordable
Milioni kama 110 ama 120, milioni 25 ama 30 hujengi nyumba?Dollar 50,000 ijenge nyumba 4 kweli? Labda za vyumba viwili viwili!
Za vyumba viwili viwili labdaMilioni kama 110 ama 120, milioni 25 ama 30 hujengi nyumba?
Hawa jamaa wanadai vitatu wanajenga 25m mpaka 40mZa vyumba viwili viwili labda
Labda nyumba 3 ila nyumba 4 utacompromize sana kwenye quality.Milioni kama 110 ama 120, milioni 25 ama 30 hujengi nyumba?