Mashoo Mashoo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 105
Natumia avast, ila license imeisha.
Inaniambia ninunue license mpya.
Sijui hata naanzia wapi.
Inaniambia ninunue license mpya.
Sijui hata naanzia wapi.
C6 ni nini hicho cha kufanya nasi tukijue kwa ufupiyani kwa kweli sikumbuki last time nimesumbuliwa na virus. nawekaga antivirus basi tu. Ukijua nini cha kufanya walaaa virusi sio tatizo...