What a blessing Eid🙏

What a blessing Eid🙏

Siku moja nilikuwa naijiuliza hivi kama uislamu ni dini ya amani mbona Mtume Muhammad aliishi miaka michache ila kapigana Vita vingi sana, maana yake alikuwa mtu wakupigana pigana na muuaji.

Baada yakufuatilia nikagundua 98% ya Vita alizopigana Mtume alikuwa anajibu mashambulizi yanaanzishwa na makafiri.

Na hata sasa ukisema ufuatilie sehemu zenye migogoro ya kidini utakuta ni makafiri ndio yanaenda kuchokoza waislamu.

Hivi Makafiri hayawezi fanya mambo yao bila kuleta chokochoko dhidi ya uislamu ??
 
Hivi leo ilikua Eid eeh,
Mi hata sijui, nimefurahi rafiki yangu katuma salamu za Eid toka jana.
Kuna swali najiuliza, kwanini wasilamu ni mna Uchoyo mwingi sana.
Mbona mnapenda shirki ya kufunga ila ikifika kufungua mnajifungia majumbani kwenu.
Madukani mko nyie tu,barabarani mmejaa nyie,kila mahali mpo tu.
Mtu unajiuliza hawa viumbe mnawatembeza walikua wapi?
Family ya watu 12 wameongozana kula eid.
Kwanini msiwape goodtime hawa wazee na wanawake na watoto mpaka ifike Eid ndo mnawatoa ndani kama mifugo.
Ni swali fikirishi ambalo halihitaji majibu.
Nna marafiki zaidi ya 100 hapa wasilamu hamna hata mmoja kanialika ubwabwa kwao.
Hawa binadamu wana roho mbaya sana
 
Back
Top Bottom