Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,909
- 33,485
Wewe ni kajinga!Hiyo pesa wewe unadhani ametoa kwa uma? mbona wewe boya hivi uko na dhibitisho utuonyeshe tuwafungulie mashtaka?., weka humu niko tayari kusambaza..,
Ufisadi ni shehemu ya maisha hapo Kenya ndio maana unaandika haya.
Wewe mwenyewe unaliwa na umasikini ila kwakuwa Uhuru ni mtu wa kabila lako uko tayari kumtetea hata akija kukubebea mke wako.