babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,116
- 27,173
Huyo mla miraa atoe wapi akili?Sasa kama unaona Kenyata kuficha mabilioni nje ya nchi haijaathiri chochote Kenya unataka bado nikuone una akili kweli?
Ama hujaona hapo anamtetea mtu wa kabila lake "siasa za mtu wetu"
Dept to GDP ratio inakaribia kugonga 100% wapo humu wala hawaelewi chochote.
Mwambie akuonesha debt to GDP ratio ya Kenya