Kuna siku nimewaona watu wa Samsung.Walikuja kampuni ya HP wenyewe ndio wakazitambua..polisi hawezi kuona utofauti wa zile wino hata mnunuaji hawezi kuona tofauti yoyote
Jukumu la mwananchi wa kawaida ni tu ku report crime imetendeka,
Sio kwamba leo amelizwa aende TBS..
Kesho aende tena police..
NO!
Police wana wajibu, to work cooperatively na other Agencies,kuhakikisha uhalifu hautendeki,na kama umetendeka na kuwa reported kwao..then wawajibike kuchunguza by involving other agencies wanaoweza kusaidia investigation...period,
Simply usiwatetee, police hawajui wajibu wao katika kumlinda mwananchi...
Mimi simu nanunua maduka yanayoeleweka kama Mlimani City pale au mara nyingine naagizia toka nje ya nchi.Asilimia 80 ya simu Tz zinauzwa kutokea kkoo
Na wanauza hadi nje ya nchi
Zambia Malawi Comoro ..Hadi Zimbabwe na DRC wanakuja kkoo kununua vitu vingi ikiwemo simu...
Dawa ni kukomesha matapeli kuokoa biashara eneo hilo..
Wanapita sana tu.. wanajitahidi brand zao zisichafuke lakini sio kwa Kkoo. Kkoo kila mtu mwizi kasoro mwenye biaashara husika yani boss mkubwa,nwanaoharibu biashara wengi ni wafanyakazi wanataka maslahi makubwa.Kuna siku nimewaona watu wa Samsung.
Wakorea kabisa wanapita madukani kukamata Samsung feki..
Agiza nje ya nchi utapata genuine na bei cheeDuuh nje Samsung ndani Itel ??aki ya nani dunia hii[emoji849][emoji849] ila kkoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Kuna watu walikuwa wanafikiri China plaza ni salama kumbe nayo utapeli kama kawaMm sim nanunua maduka yanayoeleweka kama Mlimani City pale au mara nyingine naagizia toka nje ya nchi.
Japo zamani nilinunua sim duka la Airtel Mcity nikapata ka usumbufu upande wa softwate wakanambia nipeleke science nikatengenezewa bure .Ila kariakoo sinunui simu japo mm ni mtoto wa DsM .
K/koo kuna mambo ya kishenzi sana pale tena siku hizi wamepunguza sana.
Pumbav unatetea ujinga ng'ombe wewe
Hawa ndo wezi wenyewe wa kkoo
Wamevamia uzi hapa
Mimi niko mbali kweli kwenye maisha yenu ya kula vumbi la mavi..yaani mbali mno....Nyie Dawa yenu ni kuwaroga kama yule Hakimu wa mahakama ya wilaya kinondoni.
Pumbav kabisa unakuja kutetea upumbavu
Usiwatishe... Teka mmoja mfanyie Mambo ya kihuni...Yani wahuni wanaolindwa Kama hao Inabidi unamfanyia uhuni na unyambilisi ambao atajuta maisha yake yoteJamani na mm nilishapigwa hapohapo maduka yanayotizamana na Shule ya Uhuru nikawaonesha risiti ya Jina la Duka wakanikatalia kabisa
Hawa wauzaji wao wana simu aina nyingi sasa mm nikaletewa aina mojawapo inaitwa Bundy kwa manjonjo na promotion ya kupewa fulana na Betri wakadai niwape 250,000/
wanapenda kukaa kwenye Noah kwenye choo cha kulipia kule Samora baada ya Clock Tower tumebishana wakashuka hadi 175,000/ fulana na Betri wananinyang'anya eti wanatangazia.
Jamani nusu saa hamna kitu simu haina Network, kwa vile nina risiti iliyoelekeza kuwa wapo Plot na Block mitaa ya Uhuru nikaipata, Boss akaniruka nikajua nimepigwa
Baada ya mwezi nikawaona tena wapo Dodoma mitaa ya Nyerere square, wakanivaa na uongo wao basi kwa hasira nikawakoromea na kuwaonesha imeo chao cha Bundy tena imekufa kabisa,
wakaniomba msamaha wakalala kona na mm nikawaambia bora wafungashe naifuata risiti nikawakamate.
Nashangaa mpaka leo bado wanaziuza tu na hawakamatwi
Jamani simu tununue maduka ambayo unaweza hata kuirudisha ukabadilishiwa
Ndio Polisi wanawajibu kabisaJukumu la mwananchi wa kawaida ni tu ku report crime imetendeka,
Sio kwamba leo amelizwa aende TBS..
Kesho aende tena police..
NO!
Police wana wajibu, to work cooperatively na other Agencies,kuhakikisha uhalifu hautendeki,na kama umetendeka na kuwa reported kwao..then wawajibike kuchunguza by involving other agencies wanaoweza kusaidia investigation...period,
Simply usiwatetee, police hawajui wajibu wao katika kumlinda mwananchi...
Umeandika ukweli.wanaopenda kitonga lazima wapigwe halafu k/koo kuna maduka mengi tu makubwa au ingia china plaza infinix mtu anaacha anataka slope
Bora wafanye hayo, sisi wanunuzi hatuwezi kujua feki na original.Kuna siku nimewaona watu wa Samsung.
Wakorea kabisa wanapita madukani kukamata Samsung feki..
Kama ipo China ni salama ila kama ipo kariakoo subiri maumivu!Kuna watu walikuwa wanafikiri China plaza ni salama kumbe nayo utapeli kama kawa
Mmh!! Sikia wewe tukianza kusema hivyo basi hata ukiuziwa chemikal fake itabidi uende GCLA ukipewa pesa fake uende BOT ukipewa dawa fake uende TMDA, ukipewa risiti fake iende TRA ukizulumiwa bandarin uende TPA na ukizingulia airport uende TAAHivyo ndio nimesema tumezoea tu kwenda polisi na mashataka ya kipuuzi kama haya
ndio maana hawajishugulishi mpaka ulete vielelezo
Muda umepita sana bado mna akili ya kizamani,
Kama huna ushahidi kuwa hiyo ni simu feki, unapoteza muda wa polisi
Na si kazi ya polisi kuchunguza hiyo simu kuwa ni feki
Ni mamlaka ya viwango tu ndio kazi yao
Polisi wanahusika only kwenye hela za bandia tu
Mpaka TBS wathibitishe kuwa hilo duka linauza simu feki ndio watahusika
hii ndivyo ilivyo hata Uk, US, Europe popote
Ndio Polisi wanawajibu kabisa
Siwatetei wezi wala polisi
Ni mfumo mbovu wa kisheria bongo
Uko TZ unanunua Samsung mpya kichochoroni unategemea nini
Hamna warranty wala kinga ya bidhaa
halafu unaenda polisi kusema hii ni simu feki sio samsung, haaingii akilini wakurupuke kumkata huyo muuzaji wa vichochoroni
Kungekuwa na small claim court kama kwa ulaya, na lazima ulipie kufungua kesi na kama muuzaji akipatikana hatia ya kuuza feki ndio polisi wanahusika kumkamata
Sasa sisi tunataka Polisi ndio awe Judge Jury and executioner kama tulivyozoea zamani kila kitu kushtaki polisi,
Ukimteka mmoja wenzake watajuaje na wataachaje?Usiwatishe... Teka mmoja mfanyie Mambo ya kihuni...Yani wahuni wanaolindwa Kama hao Inabidi unamfanyia uhuni na unyambilisi ambao atajuta maisha yake yote
Wanawapigaje? Ukitoa ufafanuzi utakuwa umesaidia wengi ndugu.Watu mkija kariakoo mje na wazoefu, sisi tunajua michezo yao yote tena hata mafundi simu wanawapiga sana dada zetu hasa wale wenye wameweka miamvuli kwa nje aisee, utawaonea huruma ila unakausha ndio maisha