Wezi wananifilisi

Hakuna mganga nchi hii wala dunia hii akusaidie wakati yeye menyewe hawezi kujisaidia ana maisha magumu mpaka kwenye meno
Waganga wapo, nilimkomesha mtu m1 na haamini hadi kesho, anasemaga moe nina roho mbaya sana.
Wala sio uongo, nikikasirika ile sana na moyo ukaniambia coca hapa umeumia, sina unafiki, KISASI ndio jadi yangu.

Muwe mnaongea na watu vizuri, wawape ya kilingeni.
 
Sure mkuu Kuna wataalam wanatengeneza mpaka nyoka anakuwa mlinzi wa eneo Hilo akiingia mhalifu anaee! Ila sasa kuwapata wataalam wa namna hiyo ni mbinde kwa sasa wamejaa matapeli mpaka ufanikishe unaweza jikuta umeliwa pesa nyingi sana
Mnataka waganga wa mjini na hawa wanaojitangaza mitandaoni.
Waganga wako vijijini ndani ndanii. Unafika hapo sehemu huelewi, kaskazini ni wapi kusini ipi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasiojulikana wapige juju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…