Wezi waiba vifaa vya hospitali

Wezi waiba vifaa vya hospitali

Alvin Mutiganzi

New Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Ni habari ya kusikitisha iliyoripotiwa na mganga mkuu wa Hospitari Dr. Mwakisunga leo hasubuhi baada ya riport.
Vifaa walivyoiba ni vifaa vya mashine ya Utra sound iliyokuwa ikisaidia kuokoa maisha ya watanzania wenzetu,
Mganga mkuu ameongea kwa masikitiko makubwa mnoh! baada ya mama mjazito kutaka kufanyiwa uchunguzi ili wajue ni jinsigani waweze kuokoa maisha yake na watoto mapacha waliokuwa wamekaa vibaya tumboni.
Mganga mkuu huyo wa Hospital ya Matema iliyoko km 45 kutoka Kyela mjini ameomba waliofanya wizi huo wavirejeshe tu sababu haviingiliani na mashine nyingine vifaa hivyo.
 
hao wezi walaaniwe na washindwe kwa jina la aliye juu.
watu wanakufa kwa ukosefu wa hivo vifaa. nikishika hao ni kuwatoa kucha na meno bila ganzi awana huruma kabisa.
 
poleni sana namhurumia sana mama mjamzito alikwenda hapo kutibiwa.
 
Back
Top Bottom