Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 344
- 306
watu watatu akiwemo miongoni mwao akiwamo mwanamke mmoja wamenaswa muda huu ktk eneo la buguruni wakituhumiwa kuendesha wizi wa mtandao.
mbinu wanazodaiwa kutumia ni kuwafuatilia watu wanaoweka fedha ktk simu kwa kujua namba zao za simu na jina kisha hutengeneza kitambulisho cha chenye jina la muhusika na kwenda kurenew line hiyo.
inadaiwa leo ni mara ya pili kutaka wapatiwe line ya namba ambayo mwanzo walifanikiwa kutoa hela za mtu ambaye aliidai kampuni ya tigo.