ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Kwa jinsi nilivyosikia story hii kupitia redio na magazeti wale vijana watatu kupora handbag na kukimbia na Pikipiki na hatimaye wananchi wenye hasira kwa kushirikiana na vijana Wa bodaboda walifanikiwa kuwadhibiti na kumaliza mchezo!
Yaani hii ikitokea Mara NNE, tano maeneo tofauti ya jiji uporaji huu utabaki story!pia zoezi hill lifanyike kwa makundi ya wahalifu mfano panya road watu waache woga waungane kuwakabili na kuwamaliza,kweli amani itakuwepo kila atakayefikiria kufanya matukio hayo itabidi kujiuliza Mara sabaNchi za kiarabu wezi hakuna na ukithubutu utakamatwa na cha moto utakiona.