Wezi hutumia mbinu gani kufanya watu wasishtuke wakati wanaiba na kuvunja nyumba?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Habari,

Nataka kujua ni mbinu gani zinatumika na wezi kufanya mshindwe kushtuka wakati wanaiba au kuvunja nyumba hadi mshtuke wameshaiba!

Hii ni kwa ajili kujilinda na usalama zaidi.
 
Bongo bana kazi ipo, nchi zingine wizi hakuna au kiwango kidogo sana, cctv ziko everywhere utashikwa tu.

Na polisi wasivyo na macheko ukishikwa ni chuma tu.
 
Habari

Nataka kujua ni mbinu gan zinatumika na wezi kufanya mshindwe kushtuka wakati wanaiba au kuvunja nyumba adi mshtuke wameshaiba??

Hii ni kwa ajili kujilinda na usalama zaidi
kuna nusukaputi ya spray inaitwa lala unono au fofofo wanaipuliza chini ya milango na inasambaa kwa haraka kama petroli. Ina ladha ya mint na menthol ukivuta unalewa usingiz kwa haraka sana lakini tamu zaidi unaskia baridi kali na kwahivyo unavutashuka vizuri zaidi na kujikunja haswa huku usingiz ukiwa mkali hapajawahi kutokea 🐒

Kumbuka ni spray nusu kaputi ukipuliza iyo,
in ten minutes unaanza kuvunja milango ya wenyewe ata kama utatumia nyundo na sululu kuing'oa dirisha la chumbani kwa wenyewe hawezi skia wala hawezi amka 🐒
 
Juzi kuna jirani yangu aliwaona jamaa wakati wanajitayarisha kupuliza akafunga leso jamaa wakati wanasogeza pazia na spoku akamala kiganja na sime kali. Yowe la mwizi lilituamsha mtaa mzima. Wenzakae watatu walitomkomea wakamuacha majeruhi na kuutelekeza mkasi wao wa kukatia vyuma. Kumbe dogo aliyekatwa kiganja ni wa mtaani tena ni mtoto wa mjombe! sasa hivi tunalala milango wazi wezi mtaa wameukimbia
 
Ulifanikiwa kujua huwa wanapuliza nni
 
kuna nusukaputi ya spray inaitwa lala unono au fofofo wanaipuliza chini ya milango na inasambaa kwa haraka kama petroli. Ina ladha ya mint na menthol ukivuta unalewa usingiz kwa haraka sana lakini tamu zaidi unaskia baridi kali na kwahivyo unavutashuka vizuri zaidi na kujikunja haswa huku usingiz ukiwa mkali hapajawahi kutokea

Kumbuka ni spray nusu kaputi ukipuliza iyo,
in ten minutes unaanza kuvunja milango ya wenyewe ata kama utatumia nyundo na sululu kuing'oa dirisha la chumbani kwa wenyewe hawezi skia wala hawezi amka

Inaitwaje jina la kitaamu!!

Nawezaje kujizuia nayo
 
Ulifanikiwa kujua huwa wanapuliza nni
Yule mtoto wa mjumbe aliyekatwa kiganja alisema haijui ila wenzake ndio walikuja nayo tuliwauatilia ila hawakurudi kwenye maeneo waliyopanga hadi sasa ila tunawauatilia ili wauwawe kimyakimya
 
Juzi kuna jirani yangu aliwaona jamaa wakati wanajitayarisha kupuliza akafunga leso jamaa wakati wanasogeza pazia na spoku akamala kiganja na sime kali. Yowe la mwizi lilituamsha mtaa mzima. Wenzakae watatu walitomkomea wakamuacha majeruhi na kuutelekeza mkasi wao wa kukatia vyuma. Kumbe dogo aliyekatwa kiganja ni wa mtaani tena ni mtoto wa mjombe! sasa hivi tunalala milango wazi wezi mtaa wameukimbia
Huyo majeruhi alitakiwa ale kibititi faster + petrol ili awahi mabikra 72 alioahidiwa na ntume
 
Habari,

Nataka kujua ni mbinu gani zinatumika na wezi kufanya mshindwe kushtuka wakati wanaiba au kuvunja nyumba hadi mshtuke wameshaiba!

Hii ni kwa ajili kujilinda na usalama zaidi.
Kwa experience yangu kama mtu ambae nishapamba na kufukuza wezi wengi....silaa ya kwanza ya wezi ni muda yaani saaa ya kuja kukuibia hasa hawa wezi wa madirishani

Wengi wao hupendi kuja mida ya nane hadi kumi kumi usiku mida hiyo mwili wa binadamu unakuwa kwenye stage ya usingiz mzito kitaalma stage inaitwa REM ( rapid eye movement) sasa hapa mwzi anatumia muda huu kupiga tukio maana mwili hapa kushtuka huwa ngumu sana

Wengine wenye connection zaidi hupulizia chloroform dawa inayoleta usingizi ila hawa wachache wenye uwezo wa kupata dawa hiii wengi wanatumia muda

Solution za wezi

Mbwa funga mbwa wawil au watatu sio mmoja watakuamsha wezi wakiingia

We alarm na taa ambazo zinawakawaka mtu akipita hasa dirashani kwako

La mwisho kama mtoto wa kiume uwe na panga mshale au mkuki chini ya kitanda usilale kifala fala tu
 
Habari,

Nataka kujua ni mbinu gani zinatumika na wezi kufanya mshindwe kushtuka wakati wanaiba au kuvunja nyumba hadi mshtuke wameshaiba!

Hii ni kwa ajili kujilinda na usalama zaidi.
Madawa ya kienyeji na ya kizungu.. Mostly wanayachoma chini ya dirisha ya chumba cha kulala
 
Kwa experience yangu kama mtu ambae nishapamba na kufukuza wezi wengi....silaa ya kwanza ya wezi ni muda yaani saaa ya kuja kukuibia hasa hawa wezi wa madirishani

Wengi wao hupendi kuja mida ya nane hadi kumi kumi usiku mida hiyo mwili wa binadamu unakuwa kwenye stage ya usingiz mzito kitaalma stage inaitwa REM ( rapid eye movement) sasa hapa mwzi anatumia muda huu kupiga tukio maana mwili hapa kushtuka huwa ngumu sana

Wengine wenye connection zaidi hupulizia chloroform dawa inayoleta usingizi ila hawa wachache wenye uwezo wa kupata dawa hiii wengi wanatumia muda

Solution za wezi

Mbwa funga mbwa wawil au watatu sio mmoja watakuamsha wezi wakiingia

We alarm na taa ambazo zinawakawaka mtu akipita hasa dirashani kwako

La mwisho kama mtoto wa kiume uwe na panga mshale au mkuki chini ya kitanda usilale kifala fala tu
Kuna taa ZA alarm hivi
 
Inaitwaje jina la kitaamu!!

Nawezaje kujizuia nayo
ni ngumu kujizuia kwani huwez jua siku wala saa wezi watakuibukia🐒

jina la kitaalamu sijui hata hivyo ni kama kutoa siri za ufalme wa watu 🐒

haya majina ya mtaani ni kama vile visungura tu au zile dawa za kuhifadhia kitimoto au nyama isiharibike zinatimika pia mahospitalini kwenye hifadhi za walioenda zao 🐒

ni changamoto na ni vitu vigumu kidogo 🐒

kuna muandishi wa habar moja kule Zanzibar, miaka miwili au mitatu ilopita, alitumia nadhan ni dawa kama hiyo kuwanasa wezi waliokua wakiiba vifaa vya gari alilopaki nje kwake 🐒
Aliwakuta wameuchapa usingizi mzito, bila shaka yule muandishi alitega kitu ambacho wezi walipo kigusa kikatoa harufu ambayo iliwalevya na kupata usingizi mzito pale pale 🐒
 
ni ngumu kujizuia kwani huwez jua siku wala saa wezi watakuibukia

jina la kitaalamu sijui hata hivyo ni kama kutoa siri za ufalme wa watu

haya majina ya mtaani ni kama vile visungura tu au zile dawa za kuhifadhia kitimoto au nyama isiharibike zinatimika pia mahospitalini kwenye hifadhi za walioenda zao

ni changamoto na ni vitu vigumu kidogo

kuna muandishi wa habar moja kule Zanzibar, miaka miwili au mitatu ilopita, alitumia nadhan ni dawa kama hiyo kuwanasa wezi waliokua wakiiba vifaa vya gari alilopaki nje kwake
Aliwakuta wameuchapa usingizi mzito, bila shaka yule muandishi alitega kitu ambacho wezi walipo kigusa kikatoa harufu ambayo iliwalevya na kupata usingizi mzito pale pale

aah nimesikia hata yule mzee alokamata mwizi
 
Back
Top Bottom