Wewe wasemaje kuhusu hili?

Hata mada yako mkuu hijawa wazi ni kipi hasa unataka kukifikisha watu wakuelewe,ila ukitizama swali lako kuhusu mwanaume kuzaa...ni kweli unataka watu tutoe mawazo yetu kama mwanaume anaweza kuzaa ama haiwezekani katika zama hizi?
Mbona iko wazi kqbisa mkuu?

Dhana ya kwamba Hawa alitokana na ubavu wa kushoto wa Adamu ni imekaaje?

Hii inamaana kwamba Hawa alikaa miezi tisa tumboni kwa Adam kwa mujibu wa misaafu

Km ni kweli Hawa alipitia mlango gani? Kwa sababu nijuavyo binadam wote, mlango wetu wa kuingilia na kutokea ni mmoja, sasa ilikuwaje Hawa akatoka ubavuni mwa Adamu?
 
Msaafu gani ambao unasema Hawa alikaa tumboni kwa Adam kwa miezi tisa?

Ndiyo maana kuepusha yote hayo nikwakwambia hizi ni zama za sayansi na teknolojia,hivyo hatuwezi kukaa hapa kujadili et kama mwaume anazaa au hazai.
 
Hivi bibilia haisemi kuhusu Adamu kutolewa mbavu zake za kushoto na kupatikana hawa? Kwa tafsiri ya kawaida ni kwamba Hawa alikaa miezi 9 tumboni kwa Adamu,
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana, ni imani yangu mko vyema kabisa, mnaendelea na ujenzi wa Nchi.

Hongereni kwa bajeti nzuri ya 2017/2018, lkn wakati ninyi mkiendelea kushangilia hilo, mnikumbuke kuniombea maana ndoto yangu ya kutembelea makalio ifikapo Sept sina hakika km itakuwa kweli. Huenda ikabaki kuwa ndoto. Sitaki uniulize kwann wakati jibu unalo. Lkn Mungu anawaona wote mnotaka kuifanya ndoto yangu ibaki kuwa ndoto. Kweli Mungu anawaona

Nirudi kwenye mada, wewe binafsi unazungumziaje suala hili LA Hawa Kupatikana kutoka ubavuni kwa Adam, hivi Hawa alipitia mlango gani hata kulala ubavuni kwa Adam?

Je mwanaume aweza kubeba mimba na kuzaa?

Kwa mawazo yangu, huenda wanaume wa Sodoma na Gomora waliamua kulawitiana wakifanya majaribio km ni kweli mwanaume naye aweza kubeba mimba na kuzaa km inavyosemwa kuwa Hawa alitokana na ubavu wa Adamu.

Wewe wafikiria nini ktk hili
Ungetuliza akili ukaanza kuiliza hivi Adamu katoka wapi? Udongo kweli unaweza kubeba mimba?
Au pia labda kidogo ungekua na afya nzuri ya akili ungeliuza hivi mimba na binaadam nikipi kilicho anza? Halafu ndio ukaja suala la kupatikana kwa Hawa
 
Hivi bibilia haisemi kuhusu Adamu kutolewa mbavu zake za kushoto na kupatikana hawa? Kwa tafsiri ya kawaida ni kwamba Hawa alikaa miezi 9 tumboni kwa Adamu,
Hiyo ni tafsri yako maana katika hivyo vitabu suala Adamu kushika mimba miezi tisa ndiyo kwanza nasikia kutoka kwako,nasijui hiyo mimba alitungwa na nani?
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana, ni imani yangu mko vyema kabisa, mnaendelea na ujenzi wa Nchi.

Hongereni kwa bajeti nzuri ya 2017/2018, lkn wakati ninyi mkiendelea kushangilia hilo, mnikumbuke kuniombea maana ndoto yangu ya kutembelea makalio ifikapo Sept sina hakika km itakuwa kweli. Huenda ikabaki kuwa ndoto. Sitaki uniulize kwann wakati jibu unalo. Lkn Mungu anawaona wote mnotaka kuifanya ndoto yangu ibaki kuwa ndoto. Kweli Mungu anawaona

Nirudi kwenye mada, wewe binafsi unazungumziaje suala hili LA Hawa Kupatikana kutoka ubavuni kwa Adam, hivi Hawa alipitia mlango gani hata kulala ubavuni kwa Adam?

Je mwanaume aweza kubeba mimba na kuzaa?

Kwa mawazo yangu, huenda wanaume wa Sodoma na Gomora waliamua kulawitiana wakifanya majaribio km ni kweli mwanaume naye aweza kubeba mimba na kuzaa km inavyosemwa kuwa Hawa alitokana na ubavu wa Adamu.

Wewe wafikiria nini ktk hili
Loh..i need a glass of water..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom