Wewe utathubutu kufanya hivi?

Wewe utathubutu kufanya hivi?

Kumbe muoga hivyo wa kupigwa eeeh!haya mwaya usijali

Tatizo sio kupigwa, tatizo ni kwamba huwa mnapenda kukimbilia down ze package kupiga kabari! Aisee kama kuna kitu naogopa hicho ndo cha kwanza
 
Niliona documentary ya huyu mtoto BBC. Aisee ni noma. Anawafuga na anasema ni best friends zake... Anasema anapenda kuwachokoza mpaka sometimes wanamdonoa, anaumia, lakini anasema ni her own faults as yeye ndio anaewachokoza. Amazing kid kwakweli

Watakuja kummaliza hawana dini hawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom