Wewe utatembea umbali gani?

Wewe utatembea umbali gani?

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
10,154
Reaction score
18,817
Kwa mfano ukiambiwa uinuke uanze kutembea kwa miguu mpaka pale utakapopigiwa simu na Mpenzi wako,je were unaweza ukatembea kwa umbali gani?

Mimi ninaweza nikatembea kutoka Hapa Nairobi Hadi Afrika Kusini bila ya kutumiwa message yoyote na Mpenzi wangu achia mbali kupigiwa simu
Sisi wengine tumejiegesha tu kwa watu tunazuga tunapendwa kumbe full kuteswa tu
 
tafuta na wewe mtu umtese bana usiwee mnyonge alaaah..
 
We unasema mpenzi!? Mimi ata ukisema nitembee had nitakapopigiwa na mtu yeyote tu bado naweza imaliza kanda ya ziwa yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom