Agano ni kitu kizur au kibaya inategemeana na mazingizra.Ila agano humpa mtu uhalali wakukufanya chocjote maana mupo ndani ya patano.
~Mkubalie huyo binti km unaona utatembea ndani ya hilo agano maana km hutotimiza kuliondoa kunahitaji nguvu zaid.km huto timiza utahitaji damu ya Yesu na si vinginevyo