Daaah sawa babaAgano kitu kibaya sana mkuu hata kama hawezi kukufanya nyama kweli, kama huna future nae mpotezee tu
Kama unampango nae msubirie tu kimya kimya, mapenzi ni zaidi ya Ngono
Kibaya ni pale utaposubir alaf uke kukuta sio bikira kweli...!!
Kabisaaa my dadaHahaaaa. Kweli kabisa mdogo wangu.
Ila kwa huu Utandawazi umekuwa ushawishi mkubwa kwa walio wengi kutaka kujua ule utamu hivyo lile agano linasahauliwa kabisa na hata hofu huwa haipo aisee.
Hujambo lakini?Kabisaaa my dada
We unadhani kumtoa mtu bikira pasi ridhaa yake sio uharibifu au kumfanya akubali ila kwa kumdanganya unadhani ni jambo jema?Uharibifu UPI Sasa??
Sioni ubaya hapo na ninavyojua bikira ni kijisehemu tu ndani ya mahusiano ikiwa hatokuwa nayo sidhani kama kutokuwa na bikira ndio kutakufanya ughairi moja kwa moja.Mimi sijamdanganya ila kama kweli ni bikra lazima nimuoe sasa tatizo ni hapo naweka agano halafu sio bikra
Huu hapa kakupa mtoto mzuri mwenzanguUshauri please
Sioni ubaya hapo na ninavyojua bikira ni kijisehemu tu ndani ya mahusiano ikiwa hatokuwa nayo sidhani kama kutokuwa na bikira ndio kutakufanya ughairi moja kwa moja.
Kama unasubiri subiri tu mkuu na ikitokea hana hiyo bikira itabidi ushukuru tu kwa sababu ndoa zilizo nyingi watu wanaoana bila kuwa na hizo bikira na mwisho wa siku maisha yanasonga tena ya furaha tu
😀Hahaaaa. Agano huwa linakumbukwa kitendo kikishafanyika ila kabla ya hapo vichwa vya chini ndio huwa viko mbele kupewa vinachohitaji.
Teh teh teh teh.
Siamini hii comment imetoka kwa mwana jf asante sanaSioni ubaya hapo na ninavyojua bikira ni kijisehemu tu ndani ya mahusiano ikiwa hatokuwa nayo sidhani kama kutokuwa na bikira ndio kutakufanya ughairi moja kwa moja.
Kama unasubiri subiri tu mkuu na ikitokea hana hiyo bikira itabidi ushukuru tu kwa sababu ndoa zilizo nyingi watu wanaoana bila kuwa na hizo bikira na mwisho wa siku maisha yanasonga tena ya furaha tu