Wanasema ke mnapenda kudanganywa etiWacha uharibifu kama huna nia nae mwambie tu ili ajue na kama ataamua kukutunuku akutunuku kiroho safi.
Uongo sio mzuri bana japokuwa upande wenu me mlio wengi uongo kwenu ni jambo la kawaida.
Hahaaa. Na ndio mawazo yao ujue na sisi pia nasi tulio wengi uongo ndio tunaouamini kuliko ukweli na hicho ndicho kinachowafanya waamini bila kutudanganya hatuendi.Wanasema ke mnapenda kudanganywa eti
Hahaaaa. Agano huwa linakumbukwa kitendo kikishafanyika ila kabla ya hapo vichwa vya chini ndio huwa viko mbele kupewa vinachohitaji.Kama huamini asemacho bac jaribu upate uhakika zaidi
Alafu utuletee mrejesho ili kama ni kweli tuanze na sisi kuweka agano
Bora kuishi na wanyama tu kuliko kuishi na binaadam wasiofata agano [emoji23]
Hahahahaha uuuuwiii Mungu atusaidie kwakweeli tukumbukeHahaaaa. Agano huwa linakumbukwa kitendo kikishafanyika ila kabla ya hapo vichwa vya chini ndio huwa viko mbele kupewa vinavyohitaji.
Teh teh teh teh.
Hahaaaa. Kweli kabisa mdogo wangu.Hahahahaha uuuuwiii Mungu atusaidie kwakweeli tukumbuke