Wewe ni jinga sana kuliko woooote duniani. ushalishwa limbwata sio bure. hivi km una akili sawa sawa mkeo unaweza kulinganisha na Mamako mzazi? hapo huyo mkeo anakuombea ufe apate chake biashara iishe hlf unaongea utumbo eti hakuna km wife kilaza wewe kichwa chako ni maji tupu
Hapana hilo nna uhakika,labda mama anifute mimi kwa ndugu zangu wengine lakini si baba...Mama yako anakufuta ww anambakiza baba
Unadhan mama ako atakuchagua wew!!
Na hata kama sio mitihani ilionikuta still my parents are my first priority no matter what the circumstances are,hakuna na hatotokea kwenye hii dunia anaeweza kuchukua nafasi zao...
Mumeo je?Hapana hilo nna uhakika,labda mama anifute mimi kwa ndugu zangu wengine lakini si baba...
Nimesema hakuna kama mama kwenye maisha yangu,sijaona bado...mama asingefutwa,mume ningemfuta piaMumeo je?
Natamani sana mumeo angeona hiiNimesema hakuna kama mama kwenye maisha yangu,sijaona bado...mama asingefutwa,mume ningemfuta pia
Pole.mm naungana na Cathy na nina sbb pia. nina wazazi wote nina mtoto mmoja na mume wangu alifariki ni miaka minne sasa lkn bado namlilia yy tu
Mambo?mm naungana na Cathy na nina sbb pia. nina wazazi wote nina mtoto mmoja na mume wangu alifariki ni miaka minne sasa lkn bado namlilia yy tu
Hajapenda badopole sana dada/kaka yaani we acha tu mama ni nguzo muhimu sana hasa ukute ndo mmeshibana, mimi mtu niliyekutana naye ukubwani wala hanipi shida
Unayajua maisha yao??!mbona povuuWewe ni jinga sana kuliko woooote duniani. ushalishwa limbwata sio bure. hivi km una akili sawa sawa mkeo unaweza kulinganisha na Mamako mzazi? hapo huyo mkeo anakuombea ufe apate chake biashara iishe hlf unaongea utumbo eti hakuna km wife kilaza wewe kichwa chako ni maji tupu
wewe wasemaHajapenda bado
Mama bila kugugumizi,Baada ya mwenyezi mungu na mitume yake Anaefata ni MAMA...Ambacho kingefuata ni kuambiwa chagua mmoja kati ya hao wazazi wako, who would u let go???