pole sana dada/kaka yaani we acha tu mama ni nguzo muhimu sana hasa ukute ndo mmeshibana, mimi mtu niliyekutana naye ukubwani wala hanipi shidakaka peter msiba wa mama usikie kwa mwenzio, siku yaliponifika, sijawahi kupona jeraha la mauti yake. Kifo cha mama ambae mmeshibana ni msiba wa kila siku ndani nyoyo zetu.
amchague kwan ana mtt m1? tena ukute kwenye watt yy nd last choiceUnadhan mama ako atakuchagua wew!!
ukute we ni wa akba tu kashakuchoka zamaniii sema yupo kwa sabab ni ndoa ya kikristo tuNadhan kwa wasiolewa na kuamin maandiko ndo wanamcrush Cathy...so ni suala la imani tu
Na hata kama sio mitihani ilionikuta still my parents are my first priority no matter what the circumstances are,hakuna na hatotokea kwenye hii dunia anaeweza kuchukua nafasi zao...Kwa ulivyosimulia kwenye ile sredi ya mke kumtuhumu mumewe kumwibia, una haki zote duniani kusema hivyo.
kweli basaaa,mke /mume utapata mwengine wazazi hakuna...Yeeeees!!!! Una akili sana wewe mungu akubaliki sana. mume/mke kitu gani? wazazi kwanza mengine baadae
hakukuwa na jina lake, ilikuwa ni baba, mama, mume na mtotoangefuta la kwake tu walipobaki wanne
ahaaaaaa....angefuta wote tuhakukuwa na jina lake, ilikuwa ni baba, mama, mume na mtoto
mm naungana na Cathy na nina sbb pia. nina wazazi wote nina mtoto mmoja na mume wangu alifariki ni miaka minne sasa lkn bado namlilia yy tu
Maamuzi magumuahaaaaaa....angefuta wote tu
Pamoja na hilo lakini mzazi ana sehemu kubwa kwako. MKE/MME mmekutana ukubwani, mzazi wako mara ngapi amekesha amekubeba bila kulala usingizi?"Hivyo mtu atawaacha baba na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja". Just thinking aloud.....
Kumbuka Mama mzazi ni mmoja tuu....duniani. mtoto utapata mwingine. Mzazi hana mbadalaUkute una mtoto mmoja unageuza shingo unamwona then mama daah nitajiua binafsi sioni wakuchagua
Wewe ni jinga sana kuliko woooote duniani. ushalishwa limbwata sio bure. hivi km una akili sawa sawa mkeo unaweza kulinganisha na Mamako mzazi? hapo huyo mkeo anakuombea ufe apate chake biashara iishe hlf unaongea utumbo eti hakuna km wife kilaza wewe kichwa chako ni maji tupuBabynice,
Pole sana. Ila nakuunga mkono. Nina miaka 43 ya ndoa ya mke mmoja. Tulibarikiwa watoto 8, watatu weshatutangulia mbele ya haki na 5 wapo hai.
Lakini, nimeshawaambia ndugu zangu na hata na marafiki zangu; Kama akitwaliwa my waifuwangu, HAKIKA nitamzika na hicho kitanda chetu na hata chumba nitahama sinta lala humo. Nikimkumbuka naona ntachanganyikiwa. Nioneni limbukeni wa mapenzi ila HAKUNA kama my waifu wangu.
Mama yako anakufuta ww anambakiza babaNingefuta yote nikabakiza la mama...huyu ndio mtu pekee ambae tatizo langu ni lake,anakubali na kuvumilia mapungufu yangu..