Naomba tu useme ungemfuta nani
Hahaha nilikuwa naconfirm tu kwa mara 2, ulishasema hivyo before. Vipi hata kama ukibakishwa na Wendy ni sawa tu au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha. Wote, isipokuwa wa ubavu. Mi hata leo nikiambiwa nichague mtu mmoja tu wa kubaki nae, kama ikitokea dunia nzima inakuwa wiped out, nitamchagua manzi yeyote (hata Wema Sepetu) mbele ya wazazi na ndugu. It's a no brainer.
Wazazi nao ni mke na mume...kumbuka hilo!!MKE HAWEZI KUZIDI UMUHIMU WA WAZAZI HASA MAMA. SISI WANAUME TUNAWAPENDA SANA MAMA ZETU KWANI TUNASIKIA KWAMBA WALITUZAA KWA UCHUNGU NA KWA JINSI MUNGU ALIVYOTUUMBA HATUWEZI WA KUJA TOKEA KUPATA UCHUNGU HUO MAANA HATUINGIA LOBOUR. HII IPO TOFAUTI KIDOGO JAPO SI KWA WANAWAKE WOTE, KUNA WANAWAKE THAMANI YA MAMA YAKE INAKUWA YA KAWAIDA KWANI UCHUNGU WA KUZAA NAE ANAUJUA SO NI RAHISI KWA MWANAMKE KUMTHAMINI SANA MUME AU MTOTO WAKE KULIKO MAMA YAKE. KUNA MADEMU UKIMPIGA SHOW VIZURI ANAWEZA HATA MTUKANA MAMA YAKE AU KUSEMA ANAKUPENDA KULIKO MAMA YAKE KWA MWANAUME HIYO NI NGUMU LABDA UMLOGE
Hahaha nilikuwa naconfirm tu kwa mara 2, ulishasema hivyo before. Vipi hata kama ukibakishwa na Wendy ni sawa tu au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha kwani Wendy alikufanyaje lakini uwiiii. Mungu hapendi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha. Wacha hizi bana. Nimesema ningechagua mwanamke, sio mwanaume aliyevaa wigi(I'm going to hell for this). Kama option ndio ya kubaki na Wendy, basi ningejitolea na mimi kuwa wiped out.
UNACHOSEMA UPO SAWA ILA MADA HUSIKA INAHUSU NI NANI UNAPOTAKIWA KUCHAGUA WAKUTHAMINI JUU YA MWINGINE.INAWEZA KUTOKEA HUSIOE WALA KUOLEWA ILA HAIWEZEKANI KUISHI DUNIANI BILA KUZALIWA. UPWEKE WA USIKU HAUWEZI KUWA CHANZO CHA KUFUTA THAMANI YA MAMA KISA NISIWE MPWEKE USIKU. YAANI KIFUPI SIWEZI KUFUTA JINA LA MAMA NIACHE LA MKE IKIBIDI KUFANYA IVYOWazazi nao ni mke na mume...kumbuka hilo!!
Usiku ukifika wenzako wanaenda zao kulala wewe unaenda chumbani kulala chali na kuendelea kuhesabu mbao za dalini au kenchi!!
Hahahahaha tangu asb sijacheka asee,tnxMimi nina uwezo wa kufuta killa mtu kasoro kujifuta Mimi mwenyewe
my dia hii dunia kila mtu anaeza kukuzingua, kukudanganya na kukugeuka kasoro ww mwenyewe tu,Hahahahaha tangu asb sijacheka asee,tnx
Nadhan kwa wasiolewa na kuamin maandiko ndo wanamcrush Cathy...so ni suala la imani tu"Hivyo mtu atawaacha baba na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja". Just thinking aloud.....
Atlist amekua honest 🙂Hahahahaha tangu asb sijacheka asee,tnx
Haha. Wote, isipokuwa wa ubavu. Mi hata leo nikiambiwa nichague mtu mmoja tu wa kubaki nae, kama ikitokea dunia nzima inakuwa wiped out, nitamchagua manzi yeyote (hata Wema Sepetu) mbele ya wazazi na ndugu. It's a no brainer.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Zero kweli nawe.....