WEWE Ungefanyaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WEWE Ungefanyaje??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Sep 26, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [h=2]WEWE UNGEFANYAJE?[/h]by Boflo

  [FONT=&quot]Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi ntajificha uvunguni na panga. Akisha ingia ukiona kamaliza kuvua nguo we ning’iniza mkono anza kuuchezesha, mi nikiuona ntatoka uvunguni na kumfunza adabu.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Mdada akafuata masharti ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na yule bwana , mumewe akiwa tayari na panga uvunguni mwa kitanda. Jamaa alipovua shati, mke alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani na mgongoni;[/FONT][FONT=&quot]
  MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
  JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka saba jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
  MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning’iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali, maana jamaa alimla mpaka tigo na jamaa alipomaliza shughuli zake akatokomea.
  MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
  MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 9 ulitaka niwe wa kumi?
  [/FONT]
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Duh!Siku yangu imeanza vizuri,kwa kweli hata mimi ningetulia huko huko uvunguni
   
 3. S

  Sangari Senior Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umelala ukaamka na story ya kutunga ambayo haina ladha wala mantiki yoyote kwa msomaji. Hangover ni mbaya!
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Una kiherehere!!...... hukulazimishwa kusoma wala ku comment
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,582
  Trophy Points: 280
  boflo >>>>>>>>>>>>> tigo??????????????
   
 6. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahahaaaaa Boflo hatamie mzee mzima ningeuchuna...bora vumbi la uvunguni kwa muda.
  After there namtengenezea preject ili awafate hao tisa.....mke anauma banaa !!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du nimecgeka sana hizi ndio story za mafunzo usimtishie nyau, unaweza mtegea Mkeo kwa njemba mbabe na wakala mzigo mbele yako na wakakubamiza
  Mm nawasgangaa wanaokosoa thread za wenzao kwa nini wasiandike za kwao tunaweza kukuta imekuwa facebook uwanja wa kuonyeshana SURA
   
 8. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Thank you very many, nimecheka hadi basi haaaa!!
   
 9. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hapo hata chafya hakuna kupiga unatulia tuli.
   
 10. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  thubutu yake...nani atoke...sijitaki?!!!
   
 11. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  hahahahaha Boflo nani anapenda kufa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umeona eee? mume mwingine hapo anaweza akamwambia jamaa ukimaliza kum do mke wangu uni do na mimi...lol
   
 13. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo mume mjinga/mwoga amenikeraaaa!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 15. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Marhabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 16. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,142
  Likes Received: 32,028
  Trophy Points: 280
  ha ha ha u have made my day!!!!!!!!!!!
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,340
  Likes Received: 2,664
  Trophy Points: 280
  hahahah watu wamekula nanasi na maganda yake
   
 18. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Jinga...............yani ningekuwa mimi huyo mdada, ningemuacha huyo mwanaume, kha! yaani anasikilizia mkewe anavyoenyeshwa ye kamute tu uvunguni hata kumnyatia na kumtandika panga alishindwa
   
 19. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  taraka kumi zinamuhusu
   
 20. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamani mambo haya uyasikie tu humu kama jokes si yakutokee,mkeo kufanya tendo wakati unaona si jambo rahisi na mbaya zaidi kuliwa hadi tigo!Hakuna mwanaume ambaye anaweza kujificha wakati anaona mali zake zinaliwa.
   
Loading...