Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Mar 13, 2015 #1 Magamba mpaka leo wanatumia falsafa hiyo ya kwanza! Attachments 1426238848712.jpg 11.3 KB · Views: 1,382
Bright Smart JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 642 Reaction score 312 Mar 13, 2015 #2 Hiyo ya pili imekaa vizuri, mambo ya "Carrot and Stick" hayo...
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 Mar 13, 2015 #3 Ya kwanza anaitumia cta na ya pili ni warioba
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Mar 13, 2015 #4 tumia akili usitumie nguvu
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,396 Reaction score 4,447 Mar 13, 2015 #5 yakiisha hayo majani?
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Mar 13, 2015 Thread starter #6 for life said: yakiisha hayo majani? Click to expand... Yanaishaje wakati hata hayafikii mkuu?
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Mar 13, 2015 #7 for life said: yakiisha hayo majani? Click to expand... hawezi kuyafikia kwa sababu anavyozidi kuyasogelea na yenyewe yanasogea
for life said: yakiisha hayo majani? Click to expand... hawezi kuyafikia kwa sababu anavyozidi kuyasogelea na yenyewe yanasogea
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Mar 13, 2015 #8 sema asibadili mind au mvivu,akiona hayafiki anaweza kuahirisha kufukuzia
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Mar 13, 2015 Thread starter #9 Viol said: sema asibadili mind au mvivu,akiona hayafiki anaweza kuahirisha kufukuzia Click to expand... Akii hiyo hana!
Viol said: sema asibadili mind au mvivu,akiona hayafiki anaweza kuahirisha kufukuzia Click to expand... Akii hiyo hana!