Wewe unasoma nini?

SIZA MPANDA

Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
5
Points
0

SIZA MPANDA

Member
Joined Apr 4, 2012
5 0
Watu wako kwenye semina wakaanza kujitambulisha. Wa kwanza " Mimi naitwa Anna niko mwaka wa kwanza Muhimbili Medical Center nasomea medicine". Wa pili "Mimi naitwa Davy niko mwaka wa 3 Mzumbe University nasoma sheria". Wa tatu akajitambulisha naye kuwa ' Naitwa Cosmas niko TANESCO nasoma MITA!!!!!!!!!!!!!! Watu UKumbini hoi.
 

Forum statistics

Threads 1,389,291
Members 527,879
Posts 34,022,221
Top