Na siye tumo? Acha masihara bibie!!
Precious hao ni wachache ni kama hawapo, sema bahati mbaya katika hao wachache waliopo mmoja wao ndiyo akuangukie awe mumeo!!Honestly kigarama wanaume wana gubu mbaya mno! anarudia rudia hivyo na wakati mwingine atanyamaza ukidhani yameisha kumbe anavuta pumzi huh!
Ukikua utamjua!!
Precious hao ni wachache ni kama hawapo, sema bahati mbaya katika hao wachache waliopo mmoja wao ndiyo akuangukie awe mumeo!!
nilidhani dubu, kumbe gubu!!
Hilo silijui.