Wewe una uwelewa upi katika hili ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe una uwelewa upi katika hili ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jul 13, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Inapotokea ajali ya binadamu kufa kifo cha kuzama majini , iwe Baharini, Ziwani , Bwawani whatever , na maiti kuelea majini.
  Basi kanuni ya ulalo (ueleaji) wa maiti hua ni tofauti baina ya maiti ya Mwanamke na ya Mwanaume.

  Maiti ya Kiume huelea ikiwa imelala chali yaani uso huelekea mbinguni, na Maiti ya Kike hua kinyume chake yaani huelea kifudifudi mgongo, kisogo huelekea mbinguni na uso huelekea chini ya maji .

  Kanuni hii haitofautishi age iwe ni maiti ya mtoto au mtu mzima akifia majini ataelea kufata kanuni hii.

  Nimeileta hapa ili kwa wanaojua wanijuze ama Kisayansi au Kibaologia tofauti ya ueleaji huu wa gender hizi mbili nini sababu yake!
  Naomba kuelimishwa.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mmh! this is new to me! im waiting!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Mie ndo nasikia leo ngoja tupate majibu
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwa hints tu, nikusaidie ktk kulithibitisha hili uelewe , najua ni vigumu wewe kupata fursa kufika maeneo ya matukio ukaona kwa macho.
  Fatilia sana kwenye movie zenye matukio ya ajali za maji , utathibitisha habari hii .
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu soma hapo chini nilichomueleza FirstLady
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma mkuu Judgement!
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  JG kwa kweli hii ni habari mpya sana kwangu na nimestaajabu sana
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  That's true Erick fanya tafiti , mi niko Mwanza 10 yrs now!
  Nimeshacheza na haya maji ya Victoria kwa sana! Na nililithibitisha hili at Mv Bukoba tragedy!
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ......haya sasa..
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa haya!
  Sijui nini
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mwee....hii kwangu ni brand nouvelle.....
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  huu utafiti unasababisha huzuni
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  great thinkers where r u @?
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
   
 16. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nyuma kwetu ni kuzito sana ndio maana wowowo na mgongo vinaangalia juu na huku kwenye wepesi(yaani mbeleni kwetu ndio kunaelea). Any more question mr
  Judgment?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Aisee hii ni mpya kwangu...............Ila najaribu kufikiria source ya kilichopelekea mpaka ukafukunyua hii sayansi
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Hebu jaribu kuwafikiria wale wachina wenye ****** yaliyopigwa pasi....halafu tumtafute Judgment atufafanulie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uzito wa mifupa ya makalio kwa wanawake, kama ana manyama uzito pia waongezekana. Kwa wachina wasio na nyama bado wanauzito wa hiyo mifupa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mmmmmh hii mpya, acha nipite,sirudi tena maana mie mambo ya kufa kufa siyapeeeendi....
   
Loading...