Wewe una uwelewa upi katika hili ?

Nyuma kwetu ni kuzito sana ndio maana wowowo na mgongo vinaangalia juu na huku kwenye wepesi(yaani mbeleni kwetu ndio kunaelea). Any more question mr
Judgment?

Atlist wewe umejaribu kusugua kichwa! Japo ambapo kuna utofauti flani na maelezo ya kienyeji (sio ya kisayansi) niliyowahi kuyapata mimi.

Wakati najaribu kutafiti kwa wenyeji wanauzunguka Lake Vicy , includin' fisherman majority waliniambia She huelekea chini kwa sababu ya matiti !
Sababu hii haikuniingia akilini na still now haijaniingia hasa napojiuliza kama ni matiti iweje na kabinti kamiaka mi5 matiti kayatoe wapi ? Na kakifia majini kanafata kanuni ileile.
 
Last edited by a moderator:
Judgy, eji furu jagonga emeli?

Uwelewa au uwele?

Konnie umeniacha kidogo , japo kwa mbaali na kwa uzoefu umetalk kama sio kikerewe basi kijita.
Mi home ni Tanga hata hivyo huku sitegemei kuhama.
Kwa hiyo hapa naona unataka furu , kama jibu ndy get warmly welcome.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom