Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,133
Salamu kwako.
"wema hauozi" na kizuri kinajiuza ila kibaya kinaendelea kujitembeza ni takribani miaka 16 kuna faida nyingi na hasara chache zilizopatikana kwenye tovuti yetu pendwa ya jamiiforums kwa makusudio ya uzi nitaorodhesha faida kadhaa nilizopata kwenye blogu hii na jambo gani nimeifanyia jamii forums.bila ya kupoteza muda;
Ushauri wa masomo na maisha kwa ujumla wake,upande wangu nilijiunga mtandao huu mwaka 2014 ila nilianza kufatilia post za akina mzizi mkavu na faiza foxy muda mrefu nakumbuka nipo form 3 mwaka 2012.
Marafiki japo alikuwa mmoja ila kwa sasa tumepotezana baada ya namba yangu kupotea ila he was best friend ila nilishamsahahu hata jina coz hatujawahi kuonana.
Kujifunza kupitia stori za maisha ya kila member waliofaulu na kufeli katika maisha yao walinikomaza japo sijafanikiwa kwa kiasi nachokitaka.
Namalizia kutaja jambo kubwa niloifanyia jamii forums ni kuitangaza kwa marafiki najua kuwa wanaisoma na kuuona huu uzi baadhi yao.
Namaliza wewe umeifanyia nini?