Wewe ulikua wapi?

Wewe ulikua wapi?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
[emoji2][emoji2]
IMG_20220414_164015.jpg


Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
 
Mtoro, nakumbuka niliwahi kukaa nyumbani wiki 1, nikaenda kuchezea stiki wakataka kunipa saspeshen wakaja kugundua ndicho nlikuwa nakitaka wakaahirisha

Nikawa kila nikija nasaini kwa sekand masta

Mtihani wa 4m 4 sikuenda kupanga dawati.
 
Sehemu kibao. Mchoraji, John Kisomo (halafu ni John kweli), Mkali wa soka goli kipa matata, Bigwa wa kingereza mpaka nakodiwa na shule za jirani kwenye debate, Mwimbaji kwenye kwaya ya kanisa.
Ila yote yaliyeyuka nikabaki na John Kisomo tu
 
Kuwachungulia waalimu hasa wanawake (chabo)
[emoji16][emoji16]ila wengine hii safari ya kupenda mizigo tumeianza zamani mnoo.,umenikumbusha kuna huyo madam wa kiswahili nilikua napenda aje atufundishe kila saa yani alikua ana mzigo wa maana mipaja hiyoo ,sasa alikua anapenda akija kufundisha anakaa mezani basi mimi akili yote ipo kwenye mipaja yake iliyojiachia mezani na vile alikua apenda kuvaa visket vinavyobana daah apo darasa la 5 [emoji28] nadhani ndo sababu ya mimi kufeli kiswahili mpaka na maliza 4m4 B ya kiswahili sjawahi kuiona
 
Back
Top Bottom