Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 850
- 2,959
Kuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote.
Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka
Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani
Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo yanasimama lakini ya wengine lazima yaendelee.