Wewe sio type yangu nimepima nimeona

Wewe sio type yangu nimepima nimeona

Uko sawa kabisa mimi ni homeless ila nina weza kukulisha mwaka mzima bure.

Kamalize kwanza shule uje kubishana na mimi.
As far as you are a lady just handle your business Ma'am.
Nikibishana nawewe unaweza confuse Mentrual cycle yako ukatujazia Dunia.
Nasemaje Tumeshajaa Dunia haihitaji viumbe zaidi.[emoji23] [emoji23]
 
Demu wako.sisi hatumjui afu unategemea tukushauri umuache ?[emoji23]
Ukishuka kwenye hiyo minibus ambayo apparently umekosa seat ndo usome post yangu mkuundugu.
Just to let you know hakuna sehem nimeomba ushauri becauuuuse I don't trust none of you.
 
We lofa thA goD unaruka na hii ofa ya kulishwa bure au mi niende?
Mkuu ningekubali kwenda kwenye hiyo ofa tatizo natumia Oxygen na vile vibanda vyao pale mwananyamala venye madirisha kama Hostel za Usagara vinaingiza Sulphuric na Nitrogen Nasemaje mimi sio Alien.[emoji23] [emoji23]
 
Ndo Maana nikaandika.
Najua makingereza kuliko yeyote kwenye ukoo wenu.
So I used to play with them words the hell I wanted to.
Sometimes we twist the term to make our tongues slide softly all over our mouth beds.
 
Mkuu uandishi wako ni mgumu kidogo ningechangia, lakini ngoja nipite.
 
Uko sawa kabisa mimi ni homeless ila nina weza kukulisha mwaka mzima bure.

Kamalize kwanza shule uje kubishana na mimi.
Aisee kama kagoma hii ofa ya msosi mwaka mzima bure naitaka mimi.
 
Acha matuchi.

AHCUHC
Kuna tofauti kubwa kati ya ubongo unaokula hewa fresh mambele na ubongo unaokula mavumbi bongo.
Bro waambie hawa matusi sio mtaji mimi nina matusi mpya ila nakausha.
I ain't argue with them damn fools.
 
Ahaaaaa sio matuchi bana.

I
Imagine mdada huna Tako, mguu,umbo, sura,macho kama unasoma barua ya msiba,lips kama unapiga chafya still unabishana na wanaume ambao literally ni Wachache sana. What do you expect? Usagane? Aw kidding.
 
Imagine mdada huna Tako, mguu,umbo, sura,macho kama unasoma barua ya msiba,lips kama unapiga chafya still unabishana na wanaume ambao literally ni Wachache sana. What do you expect? Usagane? Aw kidding.
Vice versa is true, una pretend kunijua upate likes? Basi fungua uzi mpyaa unitukaneeeee uridhishe moyo wako.

Watu bana umewaza misura ya dada zako na mkeo walivyo kama hamorapa hasira ukamalizia kwangu?

Nakushauri fungua uzi watu waone ulivyobobea na upate likes.
 
Aisehhh yanayokuja sasa yanautikisa moyo wangu yani stori inaendelea au ushamaliza ? Rudisha simu kwa kaka/dada yako haraka
 
we bwege kweli yaani unajifunzia kuandika humu JF.Sio type yako we kwani ni ng'ombe?
 
Back
Top Bottom