Wewe sio type yangu nimepima nimeona

Wewe sio type yangu nimepima nimeona

Habari.
Wakuu naamini kila mtu ana sex principles zake,mimi nikisex na manzi Kuna ishara nikiziona Basi najua ni type au lah.
Twende kwenye Mada sasa.

Huyu Msupa day one nakutana nae(kimwili na kiakili) kwanza tumepata dinner ya nguvu pale Elegance Hotel Sinza kwa wajanja naingia boothe manzi achezee mic kwa stage nashtuka nimesahau simu kwa table (hii ni dalili mbaya nafupisha)
Second time ni ghetto kwangu after kumuingiza huyu manzi boothe namaliza namsindikiza nashtuka nimegeuza shati katikati ya mtaa(hii nayo ishara mbaya)
Mara ya Tatu namtimbia kwake tuna refresh tunaingia boothe kama ilivyo Ada aaaayii hii ya leo ikawa kiboko nahofia kuanika hapa.
Wakuu share nami unatumia vipimo gani kujua ni type yako au lah!?
Unajua maana ya boothe?
 
Nikikujibu inavyopaswa, utasahau trh ya leo. Nimekusamehe bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my day.

Go and find something for a living.
Utakuwa homless wewe.
 
Tengeneza uzi wako mkuu utajua tu hata mdogo wako yule wa kike shule sekondari kichangani anayo tekno wereva.
Labda niseme tu WAHUNI SIO WATU WAZURI.
Unataka kusema simu umeipata kwa wahuni au sio?
Kweli wahuni sio watu wazuri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my day.

Go and find something for a living.
Utakuwa homless wewe.
Uko sawa kabisa mimi ni homeless ila nina weza kukulisha mwaka mzima bure.

Kamalize kwanza shule uje kubishana na mimi.
 
Back
Top Bottom