my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Wewe niambie tu jibu halafu mimi nitakutafutia swali unalolitaka. Here we go guysss!
Wewe niambie tu jibu halafu mimi nitakutafutia swali unalolitaka. Here we go guysss!
Haya mtoa mada toa swali hapo,kwa jibu hiloAiseee
What?Aiseee
Nimeshampea swali lakeHaya mtoa mada toa swali hapo,kwa jibu hilo
Yeah, Toa jibu basi ni kupe swali
Nimecheka sana,hii nayo mpya!Kushiba bangi!?Hpa Mmu pamekua pa hovyo kuliko hta Facebook, yani kila mvuta bangi kakimbilia uku, akishiba bangi anapost anachokifikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani humu kuna wanaovuta bangi?Hpa Mmu pamekua pa hovyo kuliko hta Facebook, yani kila mvuta bangi kakimbilia uku, akishiba bangi anapost anachokifikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema ati utajikuta uko na Nani?Utajikuta upo peke yako na chatu.
Na hili ni jibu pia?Nimecheka sana,hii nayo mpya!Kushiba bangi!?
jamaa wa vitunguu swaumu hajaona hii?
Hahahahaa jamaa wa mavitunguu shwaumu ajaiona hiijamaa wa vitunguu swaumu hajaona hii?