Wewe ni nani?

Huku duniani tuko watu waaina nyingi sana ,
Mimi shitaji kujua kwenye sayari anaishi nani mda huo ntautumia kuongeza bidii kuzalisha bidhaa na kuziuza jioni nabeba mchuchu wangu bia kiasi game la maana ,Napambana nipunguze kutokuwa sehemu ya kuumiza wengine ikiwemo wasio wanadamu ,siwezi uwa panzi kama simli wala hanidhuru ,dini kidogo sana ,naamini who ever created us main purpose ni tufanyekazi tuzalishe kisha tufurahiye kazi ya mikono yetu ,naelewa nikijiingiza kuwaza naweza jua purpose zisizonihusu za kwake ambazo ovious sio zangu then let me enjoy may time ,and die.
 
Its simple, find out your purpose(reason as to why God created you) and thats where your will find your potential(your gift of doin thing) i myself as a christian i would recomend one to read the book of ephesians chapters 1-3 tells you who you are, chapters 3-6 tells you who you are as a KINGDOM OF GOD CITIZEN, problem with many people just listen to what others say abaut them, and copy other peoples lifestlyes and mindset, hence or thereby becaming MERE PHOTOCOPIES INSTEAD OF BECAMING THE ORIGINALS THAT GOD CREATED THEM TO BE, shalom
 
Maisha ni kuchagua.
 
Mmetofautiana na mtoa mada na huyo unaemjibu kwenye context.
Mtoa mada anazungumzia spiritual realm and path nawe unazungumzia physical realm.
Safari ya kiroho kila mwanadamu ameumbwa kwa aina ya peke yake, hivyo ili kupata ufahamu Wa ulichoumbwa unapaswa kuwa na wakati Wa peke yako usiosababishwa na mazingira( ndio huo Uhuru anaousema na sio Uhuru Wa kutomtii Mungu kama ulivoeleza)
Mwanadamu akikosa ufahamu anapoteza asili yake na hivyo anajitambulisha uasili wake kwa yanayomzunguka ndio yanamdefine kama vile dini yake na matakwa yake, kabila lake, elimu yake, n.k lakini ule uhalisia wake au tuseme spiritual driven purpose aliyoumbiwa nayo inampotea.
Umeumbwa kutimiza kusudi ambalo ni unique haijalishi mazingira yako, kabila lako, ukoo wako n.k vinakutaka au kukutengeneza uwe nani.
Wasome hao mitume na manabii na wagunduzi mbalimbali Wa vitu kiundani utaelewa anachosema mtoa mada.
Hao watu walikuwa na muda Wa kukaa wenyewe wakitafakari na kuyafikia maono waloumbiwa nayo na kutimiza kusudi je wafanya hivyo?
 
Mmetofautiana kuelewana.
Sio Uhuru huo unaosema wewe, huo hauko katika physical laws.
Spiritual real na utambuzi ambavyo ni unique kwa kila mtu ndivyo vyahitaji kujitambua na kujiweka huru kwa kutofungwa na sheria za mazingira( sio kivunja sheria uelewe bali kutofungwa na sheria) ili kutimiza kusudi uloumbiwa nalo.
Ukishatambua kusudi lako na spiritual path unayopita nayo sheria za maumbile hazina kazi tena kwako hata biblia inaeleza hivyo.
Unawezaje kuiba kwa mfano wakati wewe umekombolewa toka kwenye wizi na kuiba sio sehemu ya safari yako ya kiroho?...nimekupa mfano
 
Katika maisha haya kuna mambo mengi sana ya ajabu ajabu kabisaa... Sisi binafsi tuna uwezo wa kumudu kitu chochote au jambo lolote bila usaidizi wowote, sasa shida ni kuwa tunajizoesha mno kuwa tegemezi, wa kila kitu. Mfano kuna mtu anaweza kuua Simba kwa mikono yake na kuna mtu anaweza kuua Simba kwa mkuki na kuna mtu anaweza kuua Simba kwa bunduki na mwingine kwa kutoa order tu nae ataesabika kuwa kamanda fulani alisababisha yule Simba hatari kuuwawa.
Sasa mambo hayo yote yatakinzana na ukweli halisi iliyopo ndani yetu, ambao tunaupoteza kwa kuendelea kuwa wategemezi mno. Wajuzi wa masuala ya wanyama wamesema ukimwangalia Simba bila kupepesa macho wala kuogopa utakuwa unampa wakati mgumu sana kukudhuru, lakini je? Unaweza kufanya hivyo hii leo katika ulimwengu huu tegemezi tuliojiwekea? Kweli hatujijui sisi ni nani kabisaaaaa. Kwa kumalizia tu, maana nahisi nimetoka nje ya mada, siku moja nilikuwa nataka kufanya mahesabu na mkaka mmoja hivi.. sasa si ndo nikatoa ki simu changu ili kitusaidie kufanya mahesabu!!!! Mkaka alinishangaa sana kisha akasema yeye atafanya kwa kichwa tu bila utegemezi wa kikokotoleo, na kwa kweli mahesabu yalikuwa mengi sana na alifanya vyema na kwa haraka zaidi huku mimi mtegemezi nikibaki natumbua mimacho tu, NOTE "siku hizi hata wafanyakazi wa serikalini ukiwauliza leo ni tarehe ngapi? hawajui hadi waangalie kalenda kwenye simu zao"
 
Hata hujacheza nje ya mada, ila umesema jambo, ambalo watu wengi wana lisahau.

Shukran, Dada silaha
 
I second you...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…