GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 224
Binadamu hana roho wala mwili, lakini yupo yeye kama yeye without shape .Kinachoonekana kwa sasa ni illusions in physical world.Ivi siku zoote hizi hujui wewe ni nani?
Unapoitwa na kuitika
"Naam"
Ivi unajuaje kama umeitwa wewe ?
Au mtu akikuambia wewe ni "KOBE"
Utakubali ?
Kama utakataa basi unajijua kuwa wewe siyo kobe bali ni ......
na unatambua
Tena wewe ni wa jinsia
ya .....
na unajua
Na tufanye "MTU" kwa mfano wetu akatawale nchi na kila kilichomo.
Nina
Mwili....umbo
Nina
Nafsi....mimi
Nina
Roho...uzima
Jumla
Mtu...Binadamu.
Mwili...
-fomula ya kuniwezesha kuishi duniani hapa nilipo.
-mtendaji mkuu wa hapa duniani
-mf. Kupiga, kulima
-Huzaliwa, hukua,hufa
Nafsi...
-Utambulisho wangu unaonitofautisha na wewe, yeye,
-mwamuzi wa mambo hapa nilipo
-mf. Nakupenda, nitakuoa.
-Ukifa mwili anabaki na Roho
Roho...
-Uhai, uliopulizwa na pumzi ya Mungu,
-kiongozi mwenye mahusiano ya karibu na Mungu.
-Hafi, hauwawi na ki-adui chochote isipokuwa Mungu pekee ndiye anayeweza kumtowesha pamoja na utambulisho wake, Nafsi.
Samahanini ni mtazamo wangu tu.
Binadamu ni nini au nani?Binadamu hana roho wala mwili, lakini yupo yeye kama yeye without shape .Kinachoonekana kwa sasa ni illusions in physical world.
Hata ukijifinya tu ukajiuliza mimi ni nani?utaweza kuanzia hapoChukua kioo jitazame kisha ujiulize kwa sauti ya kusikia ww, mm ni nani. Jibu utalipata hapo hapo.
Hii ipo kinyume na Mungu si ishauri itumike ndivyo sivyo maana wengi wamejikuta mashoga, wasagaji, wauaji na nk kwa sababuu yakujisikiliza wao ni na nani inbornHabari wana jamvi.
Natumai kila mmoja yupo sawa kabisa. Nimekuwa nikijiwekea utaratibu wa siku za weekend nikiwa off duty, kuwa mbali na simu , tv ,pc au kitu chochote cha teknlojia kitacho chukua atention. Saa za zingine naamua kuchukua peni na note book yangu na kuamua, either kukaa somewhere kwenye fresh air, au kwenye mchanganyiko wa watu kuangalia mizunguko na pilika zao.
Nilicho gundua kuwa mind yako inavitu vingi sana ambavyo unaweza faida navyo, tatizo hutoi au hauipi muda wa yenyewe ku manifest zaid ya kuangalia au kusoma wanacho sema wengine,.
Jaribu siku moja kufanya hivyo utakuja gundua mengi.
Lengo la uzi si hilo lakini ni jambo linalo husiana na hilo ukiangalia kwa undani.
Labda nianze na maswali machache, mengine wadau au mwenyew unataweza jiuliza na kujiongeza kichwani.
JE , WEW NI NANI??
IDENTITY AU UTAMBULISHO WAKO NI JINA ULILO PEWA??
UTAMBULISHO WAKO NI DINI?, KABILA?
IKITOKEA UKIBADILI DINI UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA NIN??
UKIJIPA AKA AU JINA MBADALA UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA MWINGINE??
Kwa kifupi tumekuwa watumwa au kufungwa kimawazo na kiimani, kupigania fake identity, image ya kutengenezewa na watu wanaotuzunguka.
Ukifikiria kwa undani utakuwa hata tabia, mienendo yako ya sasa si yako bali ni ishu unayo tawaliwa na system uliyowekewa na watu waliokupa hiyo fake identity na wewe unaisha kuifata.
Mfano, umezaliwa ukaambiwa wewe ni imani flan au kabila flan. Basi utajifunza njia na jinsi ya kuishi kulingana na hizo imani, why usijifunze kuishi kulingana na nafsi yako ilivyo ndani??
Mwisho wa siku huwezi kuwa full package kabisa au kutumia vipawa vyote ulivyo umbiwa navyo, kwa sababu vimefukia baada ya wewe kuacha your true identity, utambulisho wako halisi na kufata identity walizo weka wengine, kipindi haupo duniani..
.View attachment 490393
Ishi kwa uhuru japo kwa wiki, bila kufungwa na sheria zozote za identity yako, then utaona mengi sana.
Yah uko sahihiHata ukijifinya tu ukajiuliza mimi ni nani?utaweza kuanzia hapo
Mleta mada mimi naona la muhimu hapo ni kitu kinaitwa masterdating yaani ule uhuru wakujitengea muda wa ww peke yako mfano unaweza panga kutoka out kwenda faragha kwa mazungumzo binafsi ambacho ni kitu wengi hawafanyi, wengi wanajua kwenda out lazma uende na mtu wa ziada, swala la masterdating lawezafanywa kimaandishi na mtu binafsi au kwa mazungumzo yaani unawaza jambo na kulifanyia ufumbuzi kwa sauti au kimyakimya asilimia kubwa ya watu wanafanya hichi kitu lakini hawakitengei muda, nafkiri huu ndio uhuru ambao mtu anaweza kufanya na kujitathmini na kujitambua yeye ni nani na anataka nini ni ngumu kuwa na uhuru wa kuishi unavyotaka kutokana na asili ya mazingira, tabia au imani mfano jina la mtu laweza kubeba tabia ya mtu eg. Masai, mhaya, mchaga huwezi kukimbia asili kwa kutaka kuwa huru asili huwa haibadiliki ....huwezi kuishi huru mazingira, watu, imani au asili lazma ikubadilishe maana hukuamua kuwa ulivyo umejikuta hivyo zaidi utakua unakimbia ukweli..aksanteHabari wana jamvi.
Natumai kila mmoja yupo sawa kabisa. Nimekuwa nikijiwekea utaratibu wa siku za weekend nikiwa off duty, kuwa mbali na simu , tv ,pc au kitu chochote cha teknlojia kitacho chukua atention. Saa za zingine naamua kuchukua peni na note book yangu na kuamua, either kukaa somewhere kwenye fresh air, au kwenye mchanganyiko wa watu kuangalia mizunguko na pilika zao.
Nilicho gundua kuwa mind yako inavitu vingi sana ambavyo unaweza faida navyo, tatizo hutoi au hauipi muda wa yenyewe ku manifest zaid ya kuangalia au kusoma wanacho sema wengine,.
Jaribu siku moja kufanya hivyo utakuja gundua mengi.
Lengo la uzi si hilo lakini ni jambo linalo husiana na hilo ukiangalia kwa undani.
Labda nianze na maswali machache, mengine wadau au mwenyew unataweza jiuliza na kujiongeza kichwani.
JE , WEW NI NANI??
IDENTITY AU UTAMBULISHO WAKO NI JINA ULILO PEWA??
UTAMBULISHO WAKO NI DINI?, KABILA?
IKITOKEA UKIBADILI DINI UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA NIN??
UKIJIPA AKA AU JINA MBADALA UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA MWINGINE??
Kwa kifupi tumekuwa watumwa au kufungwa kimawazo na kiimani, kupigania fake identity, image ya kutengenezewa na watu wanaotuzunguka.
Ukifikiria kwa undani utakuwa hata tabia, mienendo yako ya sasa si yako bali ni ishu unayo tawaliwa na system uliyowekewa na watu waliokupa hiyo fake identity na wewe unaisha kuifata.
Mfano, umezaliwa ukaambiwa wewe ni imani flan au kabila flan. Basi utajifunza njia na jinsi ya kuishi kulingana na hizo imani, why usijifunze kuishi kulingana na nafsi yako ilivyo ndani??
Mwisho wa siku huwezi kuwa full package kabisa au kutumia vipawa vyote ulivyo umbiwa navyo, kwa sababu vimefukia baada ya wewe kuacha your true identity, utambulisho wako halisi na kufata identity walizo weka wengine, kipindi haupo duniani..
.View attachment 490393
Ishi kwa uhuru japo kwa wiki, bila kufungwa na sheria zozote za identity yako, then utaona mengi sana.
Habari wana jamvi.

Find the VALUE OF 'X'hii kitu huanzia darasani
utamezeshwa vitu ambavyo havina umuhimu kwako ila na itabidi uvichukue hivyo hivyo tu
Mkuu ni ngumu kumshawishi mtu kitu ambacho huwezi kukielezea.Hofuu na wogaa wa kupokea mawazo mapya elimu mpya kuhusu wewe vikikuutoka haki utajiona kiumbe kipya chenye furaha ha mweli uhuru na amani ya kweli zaman nilikuwa mbishi sana kuhusu haya mambo lakin uelewa wangu ulivyotanuka nkaelewa vzuri wala si kwa. Kukaliri before sjaruhu akili yangu kujua zaidi
Hila nipende kuambia tu. ambao mmejijua ninyi ni nani ni neema hata cjui nieleze vip niseme huu ni wito sio siri. Mnafaidi sana
Ila niwape pole kwa hawa mliolala poleni sana mnamzunguko mgumu mpaka mje siku mgamue your true identity mtajilaumu sana pengine kusema kwann kwann
Kama elimu hii ingekua na lengo baya ungesikia mabaya yakisemwa lakini wanasema vitu vya kukukisaidia uwe na furaha uwe na amani uwe na unconditional love baado tu unabisha cjui itakuaje.........
Thats a lie.....Hii ipo kinyume na Mungu si ishauri itumike ndivyo sivyo maana wengi wamejikuta mashoga, wasagaji, wauaji na nk kwa sababuu yakujisikiliza wao ni na nani inborn