Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Siku hizi hatusubiri mama zao wawafunze kutuheshimu, tupo kwenye malezi ya watoto wetu ili wao waone how responsible baba zao tupo. Hatutafuti kupendwa, tunatimiza majukumu yetu kama baba.
Natamani wanaume wote watimize majukumu yao ya ubaba kwa watoto wao.Watoto wao wajivunie kua wanababa
Nmechagua kua namba mbili,
Kama baba yake hatotaka tuwe familia,mwanangu sitompandikiza chuki natamani amjue baba yake na ukaribu wao ue mkubwa.
 
Back
Top Bottom